Kwa nn wanawake wengi wao hawawapendi watoto wa kambo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nn wanawake wengi wao hawawapendi watoto wa kambo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Garmii, Jun 3, 2011.

 1. Garmii

  Garmii Senior Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf mambo vp,nafikiri hakuna asiefaham kuwa watoto wa kambo huwa wananyanyasika sn au kunyanyaswa na mama wa kambo japo si wote lkn % kubwa ndio iko hivyo,tujadili hili!
   
 2. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata watoto wa kambo hawawapendi mama wa kambo ni vita tu.
   
 3. Garmii

  Garmii Senior Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nini hasa kiini mpaka kuna kuwa na chuki baina ya pande hizi mbili?
   
 4. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Yatupasa tuelewe kuwa kuna aina 3 za umama na utoto wa kambo. 1. Ni ukambo wa kufikia. Mara nyingi mama wa kambo wa aina hii huwa si katili kwani hujiamini na hulea watoto aliowakuta kama wakwake.Ila tatizo huwa kwa watoto km watagundua kuwa huyo si mama mzazi. 2.Ukambo wa kuletewa (Watoto wa nje ya ndoa kuletwa ndan ya ndoa) Hapa kuna kazi kwelikweli,maana mama wa kambo hukosa kujiamini na huwa katili hata kama hakuwa na tabia hiyo kabla mtoto/watoto hawajaletwa, atajifunza mkuu! Kwa upande wa watoto huwa wasikivu hujiamini zaidi hufurahia busara ya baba kuwaleta ndani ya Familia. 3. Ukambo wa aina hii ni ule wa uyatima. (mama kafariki,Baba kaoa mke mwingine.) Mhh! hapa mama mara nyingi hupungukiwa busara na kukosa huruma na utu! huwa shurutisha watoto kwa kujua yeye ndo malkia! Na watoto hujibu mapigo kwa kuto mheshimu hata afanyaje.
   
Loading...