Kwa nionavyo, Wakili huyu hatakuwa na mwisho mwema kiroho

Sikio lakufa halisikii dawa.

Umeeleza ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

Kuna Jaji mmoja ameolewa Butiama, alifanyia maskini mahoka mahakamani, akijua yeye ni mshindi Kila WAKATI, ila miezi michache tulikula Tanga la mtoto wake wakiume aliyepata ajali Arusha na kuzikwa Butiama.

Mungu akamaliza ugomvi na amejifunza kitu.
WEWE KAMA SIO MCHAWI SIJUI KWAHIYO UMEFURAHI MTOTO WAKE KUFA
 
1. Mara ya kwanza Kesi iliyosumbua sana, ya yule mmiliki wa mabasi maarufu ya J Four(J4) ya kuwaua wadeni wake kwa kuwapiga risasi, mpaka kuhukumiwa kufungwa maisha(kama sijasahau ilikuwa kunyongwa hadi kufa) ambayo kiuhalisia ni kweli jamaa aliwaua watu wale(alikiri kuhusika), Wakili huyu kwa kuwa anafahamu namna alivyo na mtandao mkubwa wa mahakimu akaingilia kesi ile na kesi kuanza upya, na kwa dalili zilizokuwepo ni kwamba yule jamaa(J4) alikuwa anaelekea kushinda kesi(sijui kama hukumu ilishatoka maana niliondoka Tz, nikaacha kufuatilia) hivyo roho za wale waliouawa zikawa zimedhulumiwa kwa kujuana na nguvu ya pesa.

2. Kesi ya mke wa marehemu Bilionea Msuya,
Baada ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Msuya, mama wa mtoto mmoja na aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha, kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku, Mke wa marehemu bilionea Msuya alikiri kuhusika na mauaji yale kwa kigezo kuwa marehemu(dada wa bilionea Msuya) alikuwa akimsumbua sana kwenye mirathi, hivyo akahukumiwa kifungo cha maisha kama sijasahau

Ni yule yule wakili kuingilia kesi hiyo ambayo awali mtuhumiwa alikiri kuhusika na mauaji hayo, baada ya muda na wakili huyo kuchezesha kama kawaida yake, February mwaka huu muuaji kaachiwa huru bila shaka yoyote kua hakuhusika

Ni kesi hii ndiyo inayoibua maswali na kejeli nyingi kwa mahakama zetu na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi upande wa upelelezi, na wengi kuona kua kesi ile haikumtendea haki marehemu dada wa bilionea Msuya ambayo kimsingi ni kweli

Sasa mimi nimekaa na kutafakari sana, kimwili na hasa kiroho, nikajiuliza huyu wakili mwenye koneksheni na majaji mbona ameifanya pesa, koneksheni na elimu yake kama fimbo ya kuwachapia wale wasiofika bei,
Roho za marehemu hao zinalia, familia za marehemu hao zinataabika, watoto wa marehemu hao wanateseka sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao, ni nani atazifuta machozi familia hizi, Ee Mwenyezi Mungu ni nani atawafuta machozi watoto wa marehemu hao ambao wengine walikua wakisoma shule nzuri leo hii wanaenda kidumu na mfagio sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao na mbaya zaidi ukweli kupindishwa na mhusika wa kupindisha ukweli ni huyu wakili, ninajua nayeye ana watoto ana ndugu na ipo siku hao waovu anaowatetea, roho za marehemu zitamrudia yeye na kizazi chake kwa kua anafanya hivyo si kwa sababu watu hao walionewa bali watu hao wamemlipa pesa ya kutosha ambayo anaweza kugawana na wenzake na kesi ikapindishwa , na kuwashuhudia uongo marehemu hao

Ukweli utabaki pale pale, dunia tunapita, vile unavyowatendea wenzako nawe siku moja utatendewa vivyo hivyo kama si wewe basi kizazi chako. Pesa haijawahi kutosha na haitotosha kamwe, unashuhudia vipi uongo ambao unajua kweli yake, kweli pesa mwanaharamu, Ee Mwenyezi Mungu nijaalie nipunguze tamaa hasa dhidi ya pesa, sijui huyo mtoto wa dada wa Bilionea Msuya atakua na umri gani lakini katika kufikiria kwangu hata akiwa mkubwa ataoneshwa watu wawili waliohusika na kifo cha mama yake, Muuaji(ambaye awali alikiri) na wakili aliyemsimamia na kumtetea kua hakuhusika ilihali anajua kuwa alihusika.

Najua hata watu hao wangefungwa isingewaongezea kitu familia zao lakini kitendo cha wao kufungwa kingeleta ahueni kwa wapendwa wao.

Sijui kwanini kesi ya huyu dada wa bilionea Msuya imeniumiza sana, nimeumia sana, japo nikiri kuwa mimi sikuwahi kuwafahamu watu hao ila nilikuwa interested tu kuona haki ikitendeka kwa kua wauaji walikiri,

Ndugu na rafiki yangu wakili najua unazipenda kesi hizi kwakua zinakupa pesa ndefu kwa wakati mmoja lakini kweli ya mauaji ya watu hao unazijua, ni kesi zenye nguvu za kiroho, naomba nikukumbushe "Karma is a bitch" kama si kwako hata kwa vizazi vyako.

Mungu azitie nguvu familia za marehemu. "Sisi ni wake na kwake tutarejea"
Amina
Hiyo kesi hukumu yake itatolewa milima ya upareni usiwe na shaka nawajua hao watu nje ndani,walikaa kimnya kutowaumiza mioyo watoto lakini kwa hili hawataacha lipite.
 
Kwa hiyo kibatari ana nguvu nyingi sana kuliko mhimili wa mahakama?
Kama ndivyo,basi tatizo siyo kibatari,tatizo ni katiba.
 
Acheni chuki na roho mbaya.
Mimi nimesoma hukumu ya ile kesi, nimejionea UJUHA, uwendawazimu na ukichaa upande wa mashtaka.
Kama pesa basi wamekula mashahidi wa Jamhuri ambao wengi wao ni polisi. Hao hao ndio ambao wamefanya upelelezi.
Mimi sio hakimu, lakini hata mimi ningewaachia huru watuhumiwa.

It is the principle of the law that, the accused person shall not be convicted on the basis of weakness of their evidence/defence but rather on the strength of prosecution evidence or case.
Angalia madhaifu niliyoyaona mimi:-
1. Majina ya mshitakiwa wa pili yamekosewa vibaya sana. Mashtaka ni dhidi ya REVOCATUS EVARIST MUYELA, wakati mshitakiwa anaitwa REVOCATUS EVAREST PATRICK MUYELA
Hayo majina kayakana si yake na hamfahamu mtu huyo.
2. Katika ushahidi kuna afande 1 alisema alipewa namba za gari na shahidi housegirl.....housegirl akasema yeye namba za gari hazijui anajua rangi na aina (make).
3. Kuna ushahidi kuwa housegirl alikamatwa siku chache baada ya mauwaji. Mwingine akasema alikuja kukamatwa miezi kadhaa mbele.
4. Shahidi 1 alisema alimhoji mshitakiwa namba 1 ofisi ya polisi Temeke. Aliyerecord tukio la mahojiano akasema walifanya hivyo kituo cha polisi Aiport.
5. Kuna shahidi akasema alishiriki zoezi la utambuzi (identification parade) akiwa kituo cha polisi Kilwa Rd majira saa 5 asubuhi. Karatasi ya maelezo inasema zoezi lilifanyika saa 12:49 mchana.
6. Eti OC-CID wa Kigamboni hakumbuki ni muda gani alifika eneo la tukio baada ya kuarifiwa kuna mauwaji na OCS wa Kibada.
7. Daktari wa post morten anasema alipokea maiti trehe 25 May na akaifanyia vipimo.....wakati kifo kimetokea tarehe 26 May.
8. Gari inayosemwa imetumika kwenda Kibada ilikua gereji siku zote za matukio. Na Jamhuri wameshindwa kukanusha hili.
9. Housegirl katishiwa hadi na bastola, lakini akashindwa kumwambia bosi wake vitisho vyote hivyo, mpaka kuwekewa bastola shingoni. Inakuingia akilini?

Kiufupi, upande wa mshtaka umeshindwa kuthibitisha kuwa watuhumiwa ndio waliomuuwa Aneth. Na sheria inataka uthibitishe beyond reasonable doubt. Sasa ukichunguza sana unaona hawa watu ni kama hawakuuwa wao ila waliplot na inawezekana kuna waliotekeleza mauwaji. Yule mwanamke hakuuwa bali mimi kwa maoni yangu inawezekana alikula njama. Wapo waliotekeleza mauwaji lakin Jamhuri imeshindwa kuwapata.

Mtamlaumu bure Kibatala, kama upuuzi wanafanya polisi kwa kuharibu upelelezi na kushindwa kunyoosha maelezo mahakamani.
Mkuu naomba unitumie dm hiyo nakala ya hukumu au inapatikana wapi?
 
Katika kesi za jinai, dosari na mashaka katika ushahidi wa DPP ndiyo humwachia huru mtuhumiwa.

Haijalishi ushahidi una nguvu kiasi gani, bali ushahidi una mashaka kiasi gani.

Mtaimba sana na wanasheria lakini ukweli ndiyo huo kwamba mtuhumiwa hafungwi kwa ushahidi wenye shaka.
Ni kwa Tanzania tu ndiyo hicho ulichoandika kina apply. Polisi waliiharibu kesi kwa kutoleta voice evidence iliyorekodiwa wakati shahidi anachukuliwa maelezo.
 
Sasa bro, kama polisi 2 wanasema wamehoji mtuhumiwa sehem tofauti....tumwamini nani?
Je, unajua kuwa kuna kusingiziwa?
Yatakuja kukupata wewe au ndugu yako siku moja ndipo akili yako itakumbuka kuwa kuna thread JF ilikuwa inaongelea namna haki za raia zinavyochezewa na wenye fedha
 
Ni kwa Tanzania tu ndiyo hicho ulichoandika kina apply. Polisi waliiharibu kesi kwa kutoleta voice evidence iliyorekodiwa wakati shahidi anachukuliwa maelezo.
Voice evidence ni electronic evidence. Kanuni zake ni ngumu sana kuthibitisha mahakamani.

Mahakamani unatakiwa kuthibitisha kwamba kifaa kilichorekodia kilikuwa kinafanya kazi kwa ufanisi, hakuna modification katika sauti; na iwapo umerekodi halafu ukahamishia kwenye kifaa kingine unatakiwa kuthibitisha kwamba hicho kifaa cha pili kilikuwa safi, na pia kitendo cha kuhamisha huo ushahidi maana yake hiyo ni kopi.

Sijawahi kuona ushahidi wa kielectronic umekubaliwa mahakamani hapa Tanzania.

Kwa hiyo bora hata waliuacha na inawezekana walijua hawatoboi.
 
Hakuna wakili wa Serikali ya hapa kwetu ambaye ana akili za kupambana kivifungu Mahakamani.
Hata Polisi wenyewe ni weupe peeee kwenye KUTOA ushahidi mahakamani.

Wao wanachokisubiliaga Huwa ni mshahara basi.Mengine yatajiongeza mbele Kwa mbele.

Na Kuna mpaka Mjaji wengi tu ambao hawawezi kusimamia mbele ya Antipasi,jumlisha vichwa vingine ambavyo vipo nje ya mfumo.

Vichwa vikali vipo nje ya mfumo mkuu.
 
Bongo hakuna haki ukiingalia maelezo yakukiri yote yanatokea polisi baada ya kula virungu, ndugu yangu unaweza kupigwa virungu na kubanwa makende mpaka ukakiri umemuua Mzee magu wakati mzee wa watu alijifia na Covid
Usiombe uingie 18 za wakaki aisee, sio mchezo.
 
  • Kicheko
Reactions: vvm
Bongo hakuna haki ukiingalia maelezo yakukiri yote yanatokea polisi baada ya kula virungu, ndugu yangu unaweza kupigwa virungu na kubanwa makende mpaka ukakiri umemuua Mzee magu wakati mzee wa watu alijifia na Covid
J4 wa hapa Mwanza bado yupo ndani.
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Voice evidence ni electronic evidence. Kanuni zake ni ngumu sana kuthibitisha mahakamani.

Mahakamani unatakiwa kuthibitisha kwamba kifaa kilichorekodia kilikuwa kinafanya kazi kwa ufanisi, hakuna modification katika sauti; na iwapo umerekodi halafu ukahamishia kwenye kifaa kingine unatakiwa kuthibitisha kwamba hicho kifaa cha pili kilikuwa safi, na pia kitendo cha kuhamisha huo ushahidi maana yake hiyo ni kopi.

Sijawahi kuona ushahidi wa kielectronic umekubaliwa mahakamani hapa Tanzania.

Kwa hiyo bora hata waliuacha na inawezekana walijua hawatoboi.
Sioni ugumu wa ku tender electronic evidence ila ninaona tu corruption kwenye Mahakama ilivyo shamiri.
 
Sidhani kama ni rushwa ila inaonekana mahakama imeamua kuweka kanuni makini kutokana na urahisi wa kuuharibu.

.............👇👇

There is no law which prohibits recording a conversation between a traffic police and a driver.

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.

This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
 
1. Mara ya kwanza Kesi iliyosumbua sana, ya yule mmiliki wa mabasi maarufu ya J Four(J4) ya kuwaua wadeni wake kwa kuwapiga risasi, mpaka kuhukumiwa kufungwa maisha(kama sijasahau ilikuwa kunyongwa hadi kufa) ambayo kiuhalisia ni kweli jamaa aliwaua watu wale(alikiri kuhusika), Wakili huyu kwa kuwa anafahamu namna alivyo na mtandao mkubwa wa mahakimu akaingilia kesi ile na kesi kuanza upya, na kwa dalili zilizokuwepo ni kwamba yule jamaa(J4) alikuwa anaelekea kushinda kesi(sijui kama hukumu ilishatoka maana niliondoka Tz, nikaacha kufuatilia) hivyo roho za wale waliouawa zikawa zimedhulumiwa kwa kujuana na nguvu ya pesa.

2. Kesi ya mke wa marehemu Bilionea Msuya,
Baada ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Msuya, mama wa mtoto mmoja na aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha, kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku, Mke wa marehemu bilionea Msuya alikiri kuhusika na mauaji yale kwa kigezo kuwa marehemu(dada wa bilionea Msuya) alikuwa akimsumbua sana kwenye mirathi, hivyo akahukumiwa kifungo cha maisha kama sijasahau

Ni yule yule wakili kuingilia kesi hiyo ambayo awali mtuhumiwa alikiri kuhusika na mauaji hayo, baada ya muda na wakili huyo kuchezesha kama kawaida yake, February mwaka huu muuaji kaachiwa huru bila shaka yoyote kua hakuhusika

Ni kesi hii ndiyo inayoibua maswali na kejeli nyingi kwa mahakama zetu na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi upande wa upelelezi, na wengi kuona kua kesi ile haikumtendea haki marehemu dada wa bilionea Msuya ambayo kimsingi ni kweli

Sasa mimi nimekaa na kutafakari sana, kimwili na hasa kiroho, nikajiuliza huyu wakili mwenye koneksheni na majaji mbona ameifanya pesa, koneksheni na elimu yake kama fimbo ya kuwachapia wale wasiofika bei,
Roho za marehemu hao zinalia, familia za marehemu hao zinataabika, watoto wa marehemu hao wanateseka sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao, ni nani atazifuta machozi familia hizi, Ee Mwenyezi Mungu ni nani atawafuta machozi watoto wa marehemu hao ambao wengine walikua wakisoma shule nzuri leo hii wanaenda kidumu na mfagio sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao na mbaya zaidi ukweli kupindishwa na mhusika wa kupindisha ukweli ni huyu wakili, ninajua nayeye ana watoto ana ndugu na ipo siku hao waovu anaowatetea, roho za marehemu zitamrudia yeye na kizazi chake kwa kua anafanya hivyo si kwa sababu watu hao walionewa bali watu hao wamemlipa pesa ya kutosha ambayo anaweza kugawana na wenzake na kesi ikapindishwa , na kuwashuhudia uongo marehemu hao

Ukweli utabaki pale pale, dunia tunapita, vile unavyowatendea wenzako nawe siku moja utatendewa vivyo hivyo kama si wewe basi kizazi chako. Pesa haijawahi kutosha na haitotosha kamwe, unashuhudia vipi uongo ambao unajua kweli yake, kweli pesa mwanaharamu, Ee Mwenyezi Mungu nijaalie nipunguze tamaa hasa dhidi ya pesa, sijui huyo mtoto wa dada wa Bilionea Msuya atakua na umri gani lakini katika kufikiria kwangu hata akiwa mkubwa ataoneshwa watu wawili waliohusika na kifo cha mama yake, Muuaji(ambaye awali alikiri) na wakili aliyemsimamia na kumtetea kua hakuhusika ilihali anajua kuwa alihusika.

Najua hata watu hao wangefungwa isingewaongezea kitu familia zao lakini kitendo cha wao kufungwa kingeleta ahueni kwa wapendwa wao.

Sijui kwanini kesi ya huyu dada wa bilionea Msuya imeniumiza sana, nimeumia sana, japo nikiri kuwa mimi sikuwahi kuwafahamu watu hao ila nilikuwa interested tu kuona haki ikitendeka kwa kua wauaji walikiri,

Ndugu na rafiki yangu wakili najua unazipenda kesi hizi kwakua zinakupa pesa ndefu kwa wakati mmoja lakini kweli ya mauaji ya watu hao unazijua, ni kesi zenye nguvu za kiroho, naomba nikukumbushe "Karma is a bitch" kama si kwako hata kwa vizazi vyako.

Mungu azitie nguvu familia za marehemu. "Sisi ni wake na kwake tutarejea"
Amina
Unaposema "wakili aliingilia kesi" una maana gani? Hiyo kesi ya kwanza siijui ila ya mke wa Msuya kuna mawakili wameshaitolea maelezo kwa nini huyo mama na mwenzie wameachiwa. Kuna wakili mmoja aliielezea hiyo hukumu kwenye youtube channel ya Simulizi na Sauti. Nakushauri uitafute hiyo video uelewe kwa nini watuhumiwa wameachiwa na sio kutoa tuhuma zisizo na msingi.
 
Back
Top Bottom