Kwa nionavyo, Wakili huyu hatakuwa na mwisho mwema kiroho

1. Mara ya kwanza Kesi iliyosumbua sana, ya yule mmiliki wa mabasi maarufu ya J Four(J4) ya kuwaua wadeni wake kwa kuwapiga risasi, mpaka kuhukumiwa kufungwa maisha(kama sijasahau ilikuwa kunyongwa hadi kufa) ambayo kiuhalisia ni kweli jamaa aliwaua watu wale(alikiri kuhusika), Wakili huyu kwa kuwa anafahamu namna alivyo na mtandao mkubwa wa mahakimu akaingilia kesi ile na kesi kuanza upya, na kwa dalili zilizokuwepo ni kwamba yule jamaa(J4) alikuwa anaelekea kushinda kesi(sijui kama hukumu ilishatoka maana niliondoka Tz, nikaacha kufuatilia) hivyo roho za wale waliouawa zikawa zimedhulumiwa kwa kujuana na nguvu ya pesa.

2. Kesi ya mke wa marehemu Bilionea Msuya,
Baada ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Msuya, mama wa mtoto mmoja na aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha, kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku, Mke wa marehemu bilionea Msuya alikiri kuhusika na mauaji yale kwa kigezo kuwa marehemu(dada wa bilionea Msuya) alikuwa akimsumbua sana kwenye mirathi, hivyo akahukumiwa kifungo cha maisha kama sijasahau

Ni yule yule wakili kuingilia kesi hiyo ambayo awali mtuhumiwa alikiri kuhusika na mauaji hayo, baada ya muda na wakili huyo kuchezesha kama kawaida yake, February mwaka huu muuaji kaachiwa huru bila shaka yoyote kua hakuhusika

Ni kesi hii ndiyo inayoibua maswali na kejeli nyingi kwa mahakama zetu na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi upande wa upelelezi, na wengi kuona kua kesi ile haikumtendea haki marehemu dada wa bilionea Msuya ambayo kimsingi ni kweli

Sasa mimi nimekaa na kutafakari sana, kimwili na hasa kiroho, nikajiuliza huyu wakili mwenye koneksheni na majaji mbona ameifanya pesa, koneksheni na elimu yake kama fimbo ya kuwachapia wale wasiofika bei,
Roho za marehemu hao zinalia, familia za marehemu hao zinataabika, watoto wa marehemu hao wanateseka sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao, ni nani atazifuta machozi familia hizi, Ee Mwenyezi Mungu ni nani atawafuta machozi watoto wa marehemu hao ambao wengine walikua wakisoma shule nzuri leo hii wanaenda kidumu na mfagio sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao na mbaya zaidi ukweli kupindishwa na mhusika wa kupindisha ukweli ni huyu wakili, ninajua nayeye ana watoto ana ndugu na ipo siku hao waovu anaowatetea, roho za marehemu zitamrudia yeye na kizazi chake kwa kua anafanya hivyo si kwa sababu watu hao walionewa bali watu hao wamemlipa pesa ya kutosha ambayo anaweza kugawana na wenzake na kesi ikapindishwa , na kuwashuhudia uongo marehemu hao

Ukweli utabaki pale pale, dunia tunapita, vile unavyowatendea wenzako nawe siku moja utatendewa vivyo hivyo kama si wewe basi kizazi chako. Pesa haijawahi kutosha na haitotosha kamwe, unashuhudia vipi uongo ambao unajua kweli yake, kweli pesa mwanaharamu, Ee Mwenyezi Mungu nijaalie nipunguze tamaa hasa dhidi ya pesa, sijui huyo mtoto wa dada wa Bilionea Msuya atakua na umri gani lakini katika kufikiria kwangu hata akiwa mkubwa ataoneshwa watu wawili waliohusika na kifo cha mama yake, Muuaji(ambaye awali alikiri) na wakili aliyemsimamia na kumtetea kua hakuhusika ilihali anajua kuwa alihusika.

Najua hata watu hao wangefungwa isingewaongezea kitu familia zao lakini kitendo cha wao kufungwa kingeleta ahueni kwa wapendwa wao.

Sijui kwanini kesi ya huyu dada wa bilionea Msuya imeniumiza sana, nimeumia sana, japo nikiri kuwa mimi sikuwahi kuwafahamu watu hao ila nilikuwa interested tu kuona haki ikitendeka kwa kua wauaji walikiri,

Ndugu na rafiki yangu wakili najua unazipenda kesi hizi kwakua zinakupa pesa ndefu kwa wakati mmoja lakini kweli ya mauaji ya watu hao unazijua, ni kesi zenye nguvu za kiroho, naomba nikukumbushe "Karma is a bitch" kama si kwako hata kwa vizazi vyako.

Mungu azitie nguvu familia za marehemu. "Sisi ni wake na kwake tutarejea"
Amina
Rostam alishalitolea majibu hili la mahakama kutotenda haki, Jaji anapigiwa simu... Hapo malizia mwenyewe..😰

Rostam alishatutonya, mimi kesi yangu nitapeleka mahakama za "PERU"....
 
mimi sina neno nimeleta kile ninachokiona kwa upande mwingine wa imani,
Siko hapa kukosoa namna ya utafutaji wa watu wengine, Nimeweka kesi mbili hapo, zote zikiwa za mauaji lakini naona wengi wameona kesi moja tu, au kwakua ni recent, J4 aliua kabisa kila mtu anafahamu mbona hamsemi hiyo, kwani mauaji mpaka yatokee hadharani, motive ilikua nini,
lengo si kujadili kesi ya fulani, lengo ni kuonesha namna mtu anavyoweza kutetea uongo alimradi tu mkono uende kinywani, mbaya zaidi ni uongo dhidi ya marehemu ambao tunaamini kimwili wamekufa lakini kiroho wapo nasi, ni nani atazisemea roho za marehemu hawa mbele ya mahakimu hawa wa kibinadamu, ni majonzi mazito.
Nimejaribu kupitia baadhi ya kumbukumbu zangu, nikagundua kuna wakili wa serikali wa kesi hii ya mke wa bilionea aliwahi kupeleka vielelezo mahakamani vilivyokua vikithibitisha kukiri kwa Mtumuhumiwa huyu, mbaya zaidi na kiasi cha pesa alichotoa kwa muuaji(milioni ishirini). Nadhani hata jamiiforum waliandika kule Instagram.
Tujadili namna mtu anavyoweza kukengeuka na kutaka kweli iwe uongo alimradi tu mkono uende kinywani, kwani yeye hajui kama ni kweli, hakuna kitu nakiogopa duniani kama kumshuhudia uongo marehemu,
Ni sawa na kwenda kwenye msiba wa tajiri(ambaye alikua rafiki yako) ukiwa umefoji nyaraka na kudai kuwa ulikua unamdai tajiri ili tu upate pesa kadhaa, nakuapia pesa hizo hazitokusaidia chochote sana sana zitakumaliza na kukupokonya hata zile zako za halali, huu ni mfano tu

Mimi nadhani tusimame kwenye hoja ya kusema na kutetea kua fulani hakuua ilihali moyoni unajua aliua, huu ni ujasiri wa hali ya juu, sina shaka na elimu ya mtu wala kile anachokipata, shaka ni uhalisia wa namna anavyopata,
kama kaka Mshana atasoma hapa, ninamuomba kwa heshima aje hapa anisaidie suala hili la kiroho,
Mbarikiwe.
 
Hata mimibinafsi napatashida kujuakama kweli piter nimlokole.kweli huyuataangekuwepo enzizayesu angemsaliti pitaangalia ubinaadamu pia usiwekakama Yuda isikiloti mmbungamwenzangu
 
Ile kesi wameharibu wapelelezi au waendesha mashitaka.
Sababu inaweza kuwa uwezo mdogo wa hiyo kazi au rushwa au vyote viwili kwa wakati mmoja.

Hawajamtendea haki marehemu Anet Msuya.
 
1. Mara ya kwanza Kesi iliyosumbua sana, ya yule mmiliki wa mabasi maarufu ya J Four(J4) ya kuwaua wadeni wake kwa kuwapiga risasi, mpaka kuhukumiwa kufungwa maisha(kama sijasahau ilikuwa kunyongwa hadi kufa) ambayo kiuhalisia ni kweli jamaa aliwaua watu wale(alikiri kuhusika), Wakili huyu kwa kuwa anafahamu namna alivyo na mtandao mkubwa wa mahakimu akaingilia kesi ile na kesi kuanza upya, na kwa dalili zilizokuwepo ni kwamba yule jamaa(J4) alikuwa anaelekea kushinda kesi(sijui kama hukumu ilishatoka maana niliondoka Tz, nikaacha kufuatilia) hivyo roho za wale waliouawa zikawa zimedhulumiwa kwa kujuana na nguvu ya pesa.

2. Kesi ya mke wa marehemu Bilionea Msuya,
Baada ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Msuya, mama wa mtoto mmoja na aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha, kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku, Mke wa marehemu bilionea Msuya alikiri kuhusika na mauaji yale kwa kigezo kuwa marehemu(dada wa bilionea Msuya) alikuwa akimsumbua sana kwenye mirathi, hivyo akahukumiwa kifungo cha maisha kama sijasahau

Ni yule yule wakili kuingilia kesi hiyo ambayo awali mtuhumiwa alikiri kuhusika na mauaji hayo, baada ya muda na wakili huyo kuchezesha kama kawaida yake, February mwaka huu muuaji kaachiwa huru bila shaka yoyote kua hakuhusika

Ni kesi hii ndiyo inayoibua maswali na kejeli nyingi kwa mahakama zetu na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi upande wa upelelezi, na wengi kuona kua kesi ile haikumtendea haki marehemu dada wa bilionea Msuya ambayo kimsingi ni kweli

Sasa mimi nimekaa na kutafakari sana, kimwili na hasa kiroho, nikajiuliza huyu wakili mwenye koneksheni na majaji mbona ameifanya pesa, koneksheni na elimu yake kama fimbo ya kuwachapia wale wasiofika bei,
Roho za marehemu hao zinalia, familia za marehemu hao zinataabika, watoto wa marehemu hao wanateseka sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao, ni nani atazifuta machozi familia hizi, Ee Mwenyezi Mungu ni nani atawafuta machozi watoto wa marehemu hao ambao wengine walikua wakisoma shule nzuri leo hii wanaenda kidumu na mfagio sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao na mbaya zaidi ukweli kupindishwa na mhusika wa kupindisha ukweli ni huyu wakili, ninajua nayeye ana watoto ana ndugu na ipo siku hao waovu anaowatetea, roho za marehemu zitamrudia yeye na kizazi chake kwa kua anafanya hivyo si kwa sababu watu hao walionewa bali watu hao wamemlipa pesa ya kutosha ambayo anaweza kugawana na wenzake na kesi ikapindishwa , na kuwashuhudia uongo marehemu hao

Ukweli utabaki pale pale, dunia tunapita, vile unavyowatendea wenzako nawe siku moja utatendewa vivyo hivyo kama si wewe basi kizazi chako. Pesa haijawahi kutosha na haitotosha kamwe, unashuhudia vipi uongo ambao unajua kweli yake, kweli pesa mwanaharamu, Ee Mwenyezi Mungu nijaalie nipunguze tamaa hasa dhidi ya pesa, sijui huyo mtoto wa dada wa Bilionea Msuya atakua na umri gani lakini katika kufikiria kwangu hata akiwa mkubwa ataoneshwa watu wawili waliohusika na kifo cha mama yake, Muuaji(ambaye awali alikiri) na wakili aliyemsimamia na kumtetea kua hakuhusika ilihali anajua kuwa alihusika.

Najua hata watu hao wangefungwa isingewaongezea kitu familia zao lakini kitendo cha wao kufungwa kingeleta ahueni kwa wapendwa wao.

Sijui kwanini kesi ya huyu dada wa bilionea Msuya imeniumiza sana, nimeumia sana, japo nikiri kuwa mimi sikuwahi kuwafahamu watu hao ila nilikuwa interested tu kuona haki ikitendeka kwa kua wauaji walikiri,

Ndugu na rafiki yangu wakili najua unazipenda kesi hizi kwakua zinakupa pesa ndefu kwa wakati mmoja lakini kweli ya mauaji ya watu hao unazijua, ni kesi zenye nguvu za kiroho, naomba nikukumbushe "Karma is a bitch" kama si kwako hata kwa vizazi vyako.

Mungu azitie nguvu familia za marehemu. "Sisi ni wake na kwake tutarejea"
Amina
Kama muda unaruhusu, ungeingia shule boss ili usomee sheriabna kuwa Wakili Msomi ambaye utasimama kwenye haki tu, badala ya kuangalia zaidi pesa na pia udhaifu kwenye upelelezi ili kushinda kesi!
 
wacha nikwambie kitu,polisi hawapigagi mtu mwenye tuhuma za mauaji au ubakaji,kesi kubwa ubazoweza kupigwa sana ni ugaidi,ujambazi,au utekaji.

vibaka na wadokozi ndio wahanga wakubwa sana wa vipigo,ukiona mtu ana tuhuma za mauaji na kakiri mwenyewe polisi ujue ni kwa hiyari yake,ingawa bado anaweza kukataa pia mahakamani kwa ushauri wa wakiri wake.
Hujawajua vizuri mapolisi wetu wewe
 
Huyo huyo wakili atakimbilia kesi za viongozi wa chadema na kusafishwa dhambi zake zote na nyumbu
 
Kwa hiyo mara ya kwanza alikili kosa , ila mara ya pili ajakili kosa, Me nazani Haina haja ya kulaumu sana ila tuangalie ni mazingira Gani yalisababisha huyu mama mara ya kwanza kukili kosa na mara ya pili kukataa kosa , unaweza Kuta alipigwa sana. ni kweli mahakamani haki hamna wengi wa majaji wanapenda ela tu ila tuvumilie ivyo ivyo

Achana na mazingira ya kukiri mkuu..,

Tuangalie ushahid wakimazingira je amehusika hajahisika ??? Mzungu ametuacha mbali sana kwenye kudai haki uyu mama ushahid wakimazingira ni moja kwa moja amehusika bila chembe ya shaka Sasa kama sio yeye marehemu alijikata shingo? Vyombo vyetu vituambie marehem kafarik vip Sasa??
 
1. Mara ya kwanza Kesi iliyosumbua sana, ya yule mmiliki wa mabasi maarufu ya J Four(J4) ya kuwaua wadeni wake kwa kuwapiga risasi, mpaka kuhukumiwa kufungwa maisha(kama sijasahau ilikuwa kunyongwa hadi kufa) ambayo kiuhalisia ni kweli jamaa aliwaua watu wale(alikiri kuhusika), Wakili huyu kwa kuwa anafahamu namna alivyo na mtandao mkubwa wa mahakimu akaingilia kesi ile na kesi kuanza upya, na kwa dalili zilizokuwepo ni kwamba yule jamaa(J4) alikuwa anaelekea kushinda kesi(sijui kama hukumu ilishatoka maana niliondoka Tz, nikaacha kufuatilia) hivyo roho za wale waliouawa zikawa zimedhulumiwa kwa kujuana na nguvu ya pesa.

2. Kesi ya mke wa marehemu Bilionea Msuya,
Baada ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Msuya, mama wa mtoto mmoja na aliyekuwa akifanya kazi Wizara ya Fedha, kuuawa kwa kuchinjwa kama kuku, Mke wa marehemu bilionea Msuya alikiri kuhusika na mauaji yale kwa kigezo kuwa marehemu(dada wa bilionea Msuya) alikuwa akimsumbua sana kwenye mirathi, hivyo akahukumiwa kifungo cha maisha kama sijasahau

Ni yule yule wakili kuingilia kesi hiyo ambayo awali mtuhumiwa alikiri kuhusika na mauaji hayo, baada ya muda na wakili huyo kuchezesha kama kawaida yake, February mwaka huu muuaji kaachiwa huru bila shaka yoyote kua hakuhusika

Ni kesi hii ndiyo inayoibua maswali na kejeli nyingi kwa mahakama zetu na vyombo vya ulinzi na usalama hasa jeshi la polisi upande wa upelelezi, na wengi kuona kua kesi ile haikumtendea haki marehemu dada wa bilionea Msuya ambayo kimsingi ni kweli

Sasa mimi nimekaa na kutafakari sana, kimwili na hasa kiroho, nikajiuliza huyu wakili mwenye koneksheni na majaji mbona ameifanya pesa, koneksheni na elimu yake kama fimbo ya kuwachapia wale wasiofika bei,
Roho za marehemu hao zinalia, familia za marehemu hao zinataabika, watoto wa marehemu hao wanateseka sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao, ni nani atazifuta machozi familia hizi, Ee Mwenyezi Mungu ni nani atawafuta machozi watoto wa marehemu hao ambao wengine walikua wakisoma shule nzuri leo hii wanaenda kidumu na mfagio sababu ya kuuawa kwa wapendwa wao na mbaya zaidi ukweli kupindishwa na mhusika wa kupindisha ukweli ni huyu wakili, ninajua nayeye ana watoto ana ndugu na ipo siku hao waovu anaowatetea, roho za marehemu zitamrudia yeye na kizazi chake kwa kua anafanya hivyo si kwa sababu watu hao walionewa bali watu hao wamemlipa pesa ya kutosha ambayo anaweza kugawana na wenzake na kesi ikapindishwa , na kuwashuhudia uongo marehemu hao

Ukweli utabaki pale pale, dunia tunapita, vile unavyowatendea wenzako nawe siku moja utatendewa vivyo hivyo kama si wewe basi kizazi chako. Pesa haijawahi kutosha na haitotosha kamwe, unashuhudia vipi uongo ambao unajua kweli yake, kweli pesa mwanaharamu, Ee Mwenyezi Mungu nijaalie nipunguze tamaa hasa dhidi ya pesa, sijui huyo mtoto wa dada wa Bilionea Msuya atakua na umri gani lakini katika kufikiria kwangu hata akiwa mkubwa ataoneshwa watu wawili waliohusika na kifo cha mama yake, Muuaji(ambaye awali alikiri) na wakili aliyemsimamia na kumtetea kua hakuhusika ilihali anajua kuwa alihusika.

Najua hata watu hao wangefungwa isingewaongezea kitu familia zao lakini kitendo cha wao kufungwa kingeleta ahueni kwa wapendwa wao.

Sijui kwanini kesi ya huyu dada wa bilionea Msuya imeniumiza sana, nimeumia sana, japo nikiri kuwa mimi sikuwahi kuwafahamu watu hao ila nilikuwa interested tu kuona haki ikitendeka kwa kua wauaji walikiri,

Ndugu na rafiki yangu wakili najua unazipenda kesi hizi kwakua zinakupa pesa ndefu kwa wakati mmoja lakini kweli ya mauaji ya watu hao unazijua, ni kesi zenye nguvu za kiroho, naomba nikukumbushe "Karma is a bitch" kama si kwako hata kwa vizazi vyako.

Mungu azitie nguvu familia za marehemu. "Sisi ni wake na kwake tutarejea"
Amina
....'Maiti Haina Rafiki'...Walisema Wasemao....
 
Back
Top Bottom