mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 237
Habari za leo wanajamii?
Leo nipo mapumziko hivyo sijaenda kazini nimepumzika ndani kwangu. hapa nje kuna wadada wake za watu, jirani yangu kawapa kazi ya udobi kidogo. sasa wanaongea mambo yao huku wanapiga kazi. sasa kunakipande wameimba tena kwa ufasaha mkubwa kimenishtua usingizini. nacho ni cha nyimbo ya almasi uitwao Roho yangu mimi.
"haya maneno walinena wazee wa zamaniiii ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani".
yaani walivyo kiimba utadhani wamefanya rehasle kwa pamoja siku mingi na kwa bashasha la hali ya juu. hapo hapo nakumbuka rafiki yangu mmoja ni dereva na bosi wake ni ke, aliniambia wiki 2 zilizopita kwamba mama huyo anakipenda sana hicho kipande!
na maranyingi nikikatiza mitaani hii nyimbo ipigwapo husikia wakike wakikidakia hiki kipande mara nyingi tu.
Nawauliza wake nyie ni kwanini mnakipenda sana hiki kipande cha mziki? sijawuliza hawa kwani sijawa na mzaoea nao, sitaki za uso.
wanajamii kwa ujumla kwanini hali hii ya kuchukulia mambo makubwa kuwa ni ya kawaida inazidi kushamiri?
karibuni wanajamii kwa mawazo yenu.