Kwa nini?/ why?

Ennie mie nataka kujua kwanini jamiiinamuono huo, Mavoko inabidi umaulize yeye binafsi, ila linapokuwa swala la sehemu ya jamii ni vyema kuiuliza jamiyenyewe, thanx jamii inaforum ambayo ni hii naitumia.Evean on Earth sija wanyooshea kidole, nomewauliza kiroooho safi tu. Tujue haya mambo tunapo yaimba hadharani, yanakaa moyoni na vichwani watu wanaona ni sahihi, kawaida hawajali tena, sasa sijui tunaandaa jamii ya namna gani? wewe unaeimba leo ndio baba mkwe/ mama mkwe wa kesho, yaani mtageuka mahakama mpaka mkome kwa kesi za ndoa za wanetu. maana wao wakua wakisikia ni kawaida mwisho ndoa hazikaliki.
 
MCM usipite bure nini mawazo yako juu ya hii mambo? hata waambie waache basi, hata kama wanaanguka wasitake kuhalalisha basi ehee?
 
Ls Man rudi juu soma utelewa swali, kama bado rudia kama bado rudia tena na tena na tena.
 
Hongereni wana mmu wooote kwa kuuona mwaka. Tuombe mungu mwaka huu mkasa ya mapenzi ipungue amani itawale.
 
Sasa almasi aliimba mambo ya kuchapiwa au viroba vya offer ya mwaka mpya vimesha take place?
 
Back
Top Bottom