Kwa nini wanawake/wadada wengi wa kanda ya ziwa wana chale mwilini?

ni kawaida tu kama unavyoona wamasai kutoboa masikio, ni kinga ya asili hiyo.usiangalie sana hayo jikite na kile kilichokuvutia
 
Kwanza wewe jamaa huna adabu. Umewala dada zetu halafu unatuuliza kuhusu ulichokiona ktk miili yao? IPO Siku utatuuliza kwa nini dada zenu si watamu,,,, pambafuuuuuuuu
 
Speaking of chale. Kuna pisi mmoja baada ya mukide mukide nkakuta ana chale kadhaa. Aisee nilishikwa na butwaa.
 
Ni urembo kwao...

Kama vile wamasai wa kiume husuka, hungolewa jino la mbele...

Wanawake wao hutanuliwa lips na kua kama sahani...



Cc: mahondaw
 
Watu ya kanda ya ziwa ni walozi sana, chale wanachanjwa watu wenye imani na waganga ili kujilinda na hizo nguvu za kishirikina...
Nishakuwa na mwanamke mzuri sana nikipita nae watu wanamshangaa ila kuna kipindi alienda kwao Tanga alivyprudi kumgagua nikakuta chale ndogo sana maeneo ya kiunoni...
Mi sipendi uganga ila pisi ilikuwa kali sana mtoto mmanga nikaendelea kujilia tu mzigo.., sijui niliwekewa limbwata
 
Mkuu mwenyewe nimeingia kanda ya ziwa huu mwaka wa 2014 na nimeshuhudia mafurushi ya kutosha kwa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…