Kwa nini wanawake/wadada wengi wa kanda ya ziwa wana chale mwilini?

Swalaamaaa wana MMU

Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza kwa nini wanawake wengi na mabinti wa kanda ya ziwa wana chale mwilini!!?

Chale hizo zinaonekana hasa maeneo ya kifuani kwa juu karibu na shingo na nyingine mgongoni kwa juu

Mademu wengi niliowalomba na wale nisiowalomba huku kanda ya ziwa nimewakuta na chale

Demu unakuta ni mkali white ila ana chale kadhaa mwilini

Wale wenyeji wa kanda ya ziwa hasa wasukuma ebu tuambieni kwa nini wanawake wa kwenu wanakua na chale sana mwilini!?
ni kawaida tu kama unavyoona wamasai kutoboa masikio, ni kinga ya asili hiyo.usiangalie sana hayo jikite na kile kilichokuvutia
 
Speaking of chale. Kuna pisi mmoja baada ya mukide mukide nkakuta ana chale kadhaa. Aisee nilishikwa na butwaa.
 
Ni urembo kwao...

Kama vile wamasai wa kiume husuka, hungolewa jino la mbele...

Wanawake wao hutanuliwa lips na kua kama sahani...

Cc: mahondaw
 
Swalaamaaa wana MMU

Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza kwa nini wanawake wengi na mabinti wa kanda ya ziwa wana chale mwilini!!?

Chale hizo zinaonekana hasa maeneo ya kifuani kwa juu karibu na shingo na nyingine mgongoni kwa juu

Mademu wengi niliowalomba na wale nisiowalomba huku kanda ya ziwa nimewakuta na chale

Demu unakuta ni mkali white ila ana chale kadhaa mwilini

Wale wenyeji wa kanda ya ziwa hasa wasukuma ebu tuambieni kwa nini wanawake wa kwenu wanakua na chale sana mwilini!?
Watu ya kanda ya ziwa ni walozi sana, chale wanachanjwa watu wenye imani na waganga ili kujilinda na hizo nguvu za kishirikina...
Nishakuwa na mwanamke mzuri sana nikipita nae watu wanamshangaa ila kuna kipindi alienda kwao Tanga alivyprudi kumgagua nikakuta chale ndogo sana maeneo ya kiunoni...
Mi sipendi uganga ila pisi ilikuwa kali sana mtoto mmanga nikaendelea kujilia tu mzigo.., sijui niliwekewa limbwata
 
aaah mkuu mie nimeingia kanda ya ziwa 2014,ni kweli wana chale sana ilaaa!!!bwana hawa wanawake wana mafurushi,yani mwanzo nlikuwa hadi najiuliza kwelii me ndio nakula demu mwenye furushi hivi??wakati dar nlizoea kuwaona wakishuka kwrnye v8 na kubang na vigogo...
heshima kwenu wanawake wa kisukuma mmeumbikA
Mkuu mwenyewe nimeingia kanda ya ziwa huu mwaka wa 2014 na nimeshuhudia mafurushi ya kutosha kwa nyuma
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom