Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

sasa hapo kwa wanaume kujifunza mauno toka utotoni hapo
tafsiri ya kuwa mwanaume sijui ikoje hapo
wanapobalee wanawekwa jandoni wanakuwa vijana wadogo miaka 12 mpaka 16 hivi, wanahifadhiwa porini kabisa na vibabu, huko ni mauno wa kwenda mbele
 
Si fidel anataka uafrica ndio unamgongea mawese tu au mafuta ya nazi, kwapani unakamulia ndimu kama vile boarding schools enzi zileeee
siku hizi atleast deodorants kwa wingi
una mpelekea harufu ya kwapa mara 2 tu ata-blow mwenyewe
 
Sijawahi ni simulizi tu, ningewahi ninewakilisha tu, kwani humu ananijua nani? siwapendi kabisa nyuso nyekunduuuu kwa mkorogo
sasa unaendea hicho kiuno tu jamani kweli? ukimaliza unaanza kujutia uamuzi
hahaaaaaa
weye hupendi machotara?
 
na siku hizi wanatahiriwa watoto hospital, mie wa kwangu nitahakikisha ameenda hukohuko jandoni apitie stage zote

mhhh usije huyo mtoto
ukamjaribisha mwenyewe uone kama
aliilewa somo lol
ha ha haaa
au utampa binamu yake?
 
mnawapendea nini? vipodozi?au mnafurahia kushare parfume na sabuni? tuambieni usije kukuta ndio evolution yenyewe hiyo

tunawapendea shughuli....
wakizama c chn ya dk 30..mengneyo yale ni kama fall ipupa yupo jukwaan...
nawakilisha:bange:


bt me nt kuwapenda wakongo cz wanapenda kulelewa wakat mwenyewe napenda nilelewe.
nawasilisha.:A S 114:
 
itabidi hao mababu tukawakodishe lol
waje na twisheni huku kwa kina uporoto lol
Si mpaka uwapate? kule singida bado wanawaweka vijana wao jandoni, na watu wa huko ni mashuhuri sana kwa kuhold bao, wanafunzwa sana hii kitu
 
tunawapendea shughuli....
Wakizama c chn ya dk 30..mengneyo yale ni kama fall ipupa yupo jukwaan...
Nawakilisha:bange:





Bt me nt kuwapenda wakongo cz wanapenda kulelewa wakat mwenyewe napenda nilelewe.
Nawasilisha.:a s 114:

kweli wanawake unafiki upo damuni
sio wewe uliesema dakika 15 maandalizi.kumi na tano shughuli
inakutosha?????????
 
tunawapendea shughuli....
wakizama c chn ya dk 30..mengneyo yale ni kama fall ipupa yupo jukwaan...
nawakilisha:bange:


bt me nt kuwapenda wakongo cz wanapenda kulelewa wakat mwenyewe napenda nilelewe.
nawasilisha.:A S 114:
hili nalo ni janga la kitaifa au ni skills za mtu mwenyewe?
 
Back
Top Bottom