Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

labda wanapenda sauti zao!
Dada umesema kweli moja ya vitu vinavyowavutia w'ke ni pamoja na sauti (wacko jacko,bolton,elton jon,bichuka,dede nk) nawapenda wacongo (tp ok jazz).., ila nina shida na hii habari ya kujichubua, kujiremba sana na tabia za kike zinazoonyeshwa na hawa ndugu...kama ndio usasa wenyewe sijui...ILA tabia kama hizo kwa mwanaume sio kawaida aidha kuna mapungufu makubwa ktk malezi..unaweza kuta utotoni aliteswa/dhalilishwa na mzazi/maisha..ukubwani anakuwa shoga au na mambo ya kike kike (siyo wote lkni)...NYIE w'ke wa tz tahadhari mnaweza fanyiwa ukatili/kutendwa na vile vile muwe macho kuwaachia watoto wenu wadogo hasa wa kiume mtajalia vibaya...ohoo!
 
Unauhakika na unacho sema ama unataka kuleta uzushi! Tupe takwimu, isije ikawa haya yametekea mtaani kwenu tu, then una generalize.
 
Unauhakika na unacho sema ama unataka kuleta uzushi! Tupe takwimu, isije ikawa haya yametekea mtaani kwenu tu, then una generalize.
hahah nikikupa takwimu utakuwa na uhakika gani kuwa ni za kweli au za uongo? utawezaje kuzithibitisha?
 
wanawake bana...
Sasa dume zima badala ya kwenda kutafuta pesa
likae na wewe kwenye kioo na kukuremba....

Hao wanawake wanafiki sana..
Kwa vyovyote vile wana mabwana wa pembeni wa kuwalipia gharama zao...
Wakongo ni waume mabwege
...

wanawake wanapenda vitu vya ajabu sana
 
Unauhakika na unacho sema ama unataka kuleta uzushi! Tupe takwimu, isije ikawa haya yametekea mtaani kwenu tu, then una generalize.

kama una dada zako nenda kaishi tafuta majirani wakongo uone ndio utajua ninachokisema kuwa sio uzushi
 
Hayo ni mafikilio yako2, binafsi niliishi Congo kwa muda mrefu ukweli ni kwamba hawajui kabisa kupagawisha tena ni kama gogo kabisa. Hata wanaume wao wakipata binti wa KiTZ au Bwana wa KiTZ huwa wanapagawa sana maana wa Tz wanayaweza sana. Hao wanaowashobokea ni imani zao tu kutokana na kuwaona ktk miziki ya Jukwaani lakini hawana lolote ktk Mziki wa 6*6, na niushamba wa lugha na kuonja vya wageni ndio unawasumbua watu.
offcourse Tanzania wana possibility kubwa sana ya kutoka ndio maana
 
Saint Ivuga... Kwani mbona uko concerned sana au kuna aliekuchukulia kimwana wako??



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom