Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

Napenda uje unanukia kiasili zaidi ukija unanukia kikwapa dah mm full mzuka.

Alafu ukiweka na mbwembwe kwenye kujifukuzia udi na marashi yale ya kiasili dah we acha tu
Mafuta ya mawese hayatachafua shuka?
 
Mie siwafagilii, napenda mwanaume gentleman, mweusi, sasa wao wanaona weupe dili
mwisho wa yote anataka umtunze wewe, mie mwenzangu nataka nitunzwe kwa kweli
hawa jamaa natofautiana nao sana
nasikia wanawafuliaga nguo za ndani. hutaki?
 
Tena ukitinga kwenye salon zao na mkoko wa maana utaona jinsi wanavyokupa service kwa upendeleo. Aaaah. Nimekumbuka kaka mmoja wa Malaysia alikuwa analalamika kuwa wananume toka Srilanka ambao mostly ni illegal migrants wanawavunjia ndoa zao kwa kuwa ni handsome sana!

Inabidi wababa muandamane kwenda migration kuwauliza kulikoni kutoa work permit kwa foreigners kuja kufanya kazi salon???
 
wanafua, na kucha anakupaka rangi, mkimaliza hapo nywele anakuchana bonge la mtindo, baasi hapo mwanamke mjinga likichwa hiloooo
hajui kuna payback

wanawake bana...
Sasa dume zima badala ya kwenda kutafuta pesa
likae na wewe kwenye kioo na kukuremba....

Hao wanawake wanafiki sana..
Kwa vyovyote vile wana mabwana wa pembeni wa kuwalipia gharama zao...
Wakongo ni waume mabwege
...
 
wanawake bana...
Sasa dume zima badala ya kwenda kutafuta pesa
likae na wewe kwenye kioo na kukuremba....

Hao wanawake wanafiki sana..
Kwa vyovyote vile wana mabwana wa pembeni wa kuwalipia gharama zao...
Wakongo ni waume mabwege
...
Na ndio inavokuwa, wnavizia wadada walioolewa na wale wenye pesa ili wawatunze kwa hiyo inabidi wawe kama mabwege hivi
 
ushawahi kusonga ugali wewe? Sasa unasonga na ile kitu.... Yaani inageuka mwiko ghafla... Ndio kamaanisha hivo

nimeanza kuhisi wewe umejaribu huyo mkongo lol
maanake unaonekana unajua kinachozungumziwa lol
ha ha haaaaa
we wakusongea ugali nahisi lol hiii hiiiii hiiiiiiiii
 
nimeanza kuhisi wewe umejaribu huyo mkongo lol
maanake unaonekana unajua kinachozungumziwa lol
ha ha haaaaa
we wakusongea ugali nahisi lol hiii hiiiii hiiiiiiiii
Sijawahi ni simulizi tu, ningewahi ninewakilisha tu, kwani humu ananijua nani? siwapendi kabisa nyuso nyekunduuuu kwa mkorogo
sasa unaendea hicho kiuno tu jamani kweli? ukimaliza unaanza kujutia uamuzi
 
Back
Top Bottom