Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

mnawapendea nini? vipodozi?au mnafurahia kushare parfume na sabuni? tuambieni usije kukuta ndio evolution yenyewe hiyo

Mi napendelea binti/mama anae tumia sabuni ya kipande na mafuta bodyline basi akija ananukia nukia kwangu mwiko.
 
Siyo wacongo tuu!! Dada zetu foreigner yoyte anawarusha roho!!! Ulimbukeni tuuu!! Sasa ukizingatia wacongo wanafanya pia kazi za home kama kufua (hadi nguo za ndani za dada zetu); kudeki nk.. dada zetu wanaona wameua ndege wawili kwa jiwe moja-FOREIGNER kapata pia shughuli za ndani zinafanyika!!
 
kama ni kweli bora waolewe wote tu...tubaki wenyewe
 
Mi napendelea binti/mama anae tumia sabuni ya kipande na mafuta bodyline basi akija ananukia nukia kwangu mwiko.
fidel ..kwa hiyo wewe mapouda na ma payum kwako mwiko? hii kali.. watoto wa mjini watakuelewa kweli?
 
Mimi haya mambo yashaanza nichosha kabisa

mara katerero ndo yenyewe

sasa mara wakongo ndo wenyewe

bora kutojisumbua.....
Unafanya unavyoweza....asiporidhika aende zake ......

Kutafuta pesa tuhangaike.....
Na kuwaridhisha nayo tutafute twisheni ?????
Hell no.....
Mbona mama zetu na baba zetu haikuwa hivyo??????????
 
Heeeeee yamekuwa hayo tena
 
Fidel bwana mwanamke kunukia inaleta hamasa fulani, yaani hata ma body splash hutaki?

Napenda uje unanukia kiasili zaidi ukija unanukia kikwapa dah mm full mzuka.

Alafu ukiweka na mbwembwe kwenye kujifukuzia udi na marashi yale ya kiasili dah we acha tu
 
Mie siwafagilii, napenda mwanaume gentleman, mweusi, sasa wao wanaona weupe dili
mwisho wa yote anataka umtunze wewe, mie mwenzangu nataka nitunzwe kwa kweli
hawa jamaa natofautiana nao sana

Shantel wewe nakuaminia....mie kama fedel alivyosema.....mambo ya sijui nini kwapani no...;natural woman.
 
Mimi haya mambo yashaanza nichosha kabisa

mara katerero ndo yenyewe

sasa mara wakongo ndo wenyewe

bora kutojisumbua.....
Unafanya unavyoweza....asiporidhika aende zake ......

Kutafuta pesa tuhangaike.....
Na kuwaridhisha nayo tutafute twisheni ?????
Hell no.....
Mbona mama zetu na baba zetu haikuwa hivyo??????????

The Boss naona mtu kakamata simba makalio...result yake kifo
 
Siyo wacongo tuu!! Dada zetu foreigner yoyte anawarusha roho!!! Ulimbukeni tuuu!! Sasa ukizingatia wacongo wanafanya pia kazi za home kama kufua (hadi nguo za ndani za dada zetu); kudeki nk.. dada zetu wanaona wameua ndege wawili kwa jiwe moja-FOREIGNER kapata pia shughuli za ndani zinafanyika!!

mkuu sasa wengine maforeigner kwingine?
 
Back
Top Bottom