Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

Kamanda mheshimiwa nimeambia anachomewa nusu mbuzi sio vinusu kilo vyetu aisee.
Hahahahahaa! tena kitimoto yeye hali nyama tu, nasikia breakfast yake anapewa Supu ya kichwa cha nguruwe na mikate pembeni bia 3 aina ya castle laga
 
ilikuaje mpaka huyo dada akakwambia siri nzito hvo?
Huyo dada hakutegemea km mshikaji angepaform up to that extent, yeye alijua ni wakongo na watanga tu kumbe Saint Ivuga nae yumo! Hz n habari njema, congrats to mshkaji wetu wa jf!
 
Jamani
lazima watokee wasichana
Wanaowapenda otherwise watakuwa
Lonely sana..

Mmhh na wengine tunapenda wanaovaa overall
Akija home anakupaka Gris usoni mmmhhh
 
Jamanilazima watokee wasichanaWanaowapenda otherwise watakuwaLonely sana..Mmhh na wengine tunapenda wanaovaa overallAkija home anakupaka Gris usoni mmmhhh
Teh! Wakongo wamewateka sana dada zetu duh! Alafu nasikia wanawachezea sana wale dancers wao, ni kama wake zao! Afro... My love mkongo akijipendekeza angazako namng'oa shingo! Nipende mimi tu teh!
 
Jamanilazima watokee wasichanaWanaowapenda otherwise watakuwaLonely sana..Mmhh na wengine tunapenda wanaovaa overallAkija home anakupaka Gris usoni mmmhhh[/QUOTEkwahiyo nije na overall langu na grease kibao ndio maana siku ile na suti hujachangamka ?
 
mnawapendea nini? vipodozi?au mnafurahia kushare parfume na sabuni? tuambieni usije kukuta ndio evolution yenyewe hiyo
Mi nimegundua wanWake wanapenda wanamuziki na sijui ni kwanini ila hawa wakongo wanajua kuwadanganya maneno matamu matamu muda wote,sasa mkuu hayo mengine hatuwezi wengi wetu halafu wanakatika hao kitandani balaa demu yeye analala tu kusikilizia jsasa sisi si utamaduni wetu bwana viuno vyetu vigumu,na wengine hatupendi hata huko kukatikiwa na mademu sembuse men akatike?no ways
 
Ila wakongo kwa maneno hawajambo duh!
 
Kugusa kuta zote??????????????

Ndio????????????????????????
Ndio maana yake...uwe kama unanoa kisu vile....sasa kama mwaume kitambi hicho, na mama kitambi hicho....hii kitu haiwezekani. ni kifo cha mende na kuishia kulala kama mtu amekufa....jamani vitambi noma tusidanganyane!!!
 
ndio maana yake...uwe kama unanoa kisu vile....sasa kama mwaume kitambi hicho, na mama kitambi hicho....hii kitu haiwezekani. Ni kifo cha mende na kuishia kulala kama mtu amekufa....jamani vitambi noma tusidanganyane!!!

hujajibu swali bado....
 
washikaji bora waende kwa wakongo maana siku hizi ngoma nayo iko juu mimi naogopa sana ngoma washikaji.
 
Wakongo wanakatika balaa kwenye game kwahiyo kinadada wanaegesha tu na kusikilizia raha hahaha ! Itabidi tuanze mazoezi lol!
Nasikia ukiwa na mkongo unaegesha tu kimguu dirishani eti wao wanakwambia tulia nikupe mambo mtoto,kuna wadada hapa mjini huwaambii kitu mbele ya hawa watu,mie siwapendi wanavojichubua sana
 
Narudia tena kuonyesha msisitizo, "Dada zetu wa kibongo wengi wao ni malimbukeni ktk mapenzi" wanawapenda wakongo pasipo sababu, wanafata mikumbo tu!
Mhhhhh! mkumbo gani sasa na ushaambiwa wanazungusha?
 
Nasikia ukiwa na mkongo unaegesha tu kimguu dirishani eti wao wanakwambia tulia nikupe mambo mtoto,kuna wadada hapa mjini huwaambii kitu mbele ya hawa watu,mie siwapendi wanavojichubua sana
umeskia au umeonaaaaaa. huko kwingine sichangii
 
Back
Top Bottom