Kwa nini wanaume wanatoka nje ya ndoa 2

Kwa nini wanaume wanatoka nje ya ndoa 2

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
3,504
Reaction score
1,343
mnawatoa wenyewe tena msitulalamikie hapa
603740_152773768230720_1841660278_n.jpg
 
Chezea nyumba ndogo wewe, na big house usipobadirika unapokonywa mme moja kwa moja! Wale mnaobweteka baada ya kuolewa acheni.....
 
Hata kitabu kitakatifu "Biblia" kimewaonya wanawake kwamba: Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake yeye mwenyewe
 
Chezea nyumba ndogo wewe, na big house usipobadirika unapokonywa mme moja kwa moja! Wale mnaobweteka baada ya kuolewa acheni.....
Siyo siri tunajisahau sana na kushindwa kutekeleza hata majukumu yetu hata yale ambayo basic katika ndoa. Mwanaume ni kiumbe dhaifu sana katika maamuzi na anahitaji kubembelezwa kama mtoto mdogo siku zote. Ole wetu wale tunaojifanya kutafuta usawa hata ndani ya nyumba zetu, tukubali matokeo.
 
Nimefurahishwa sana na maneno yako! Ama kweli mmeo ana kila sababu ya kujivunia kukupata wewe if you real talk this from the bottom of your heart! Keep it up, na wala hautasikia umeibiwa mme hata siku moja!
 
Kaka ushabweteka
 
Siyo siri tunajisahau sana na kushindwa kutekeleza hata majukumu yetu hata yale ambayo basic katika ndoa. Mwanaume ni kiumbe dhaifu sana katika maamuzi na anahitaji kubembelezwa kama mtoto mdogo siku zote. Ole wetu wale tunaojifanya kutafuta usawa hata ndani ya nyumba zetu, tukubali matokeo.
Mwanaume aliyekuoa/atakayekuoa ana bahati sana duniani. Vipi una mdogo wako mwenye mawazo mazuri kama wewe na mimi nijiwahi??
 
wengine wanafanyiwa kila kitu na wake zao,,kama kuheshimiwa,kubembelezwa na vingine vyote ambavyo mke mwema anatakiwa kufanya na bado wanatoka nje ya ndoa...........
 
Siyo siri tunajisahau sana na kushindwa kutekeleza hata majukumu yetu hata yale ambayo basic katika ndoa. Mwanaume ni kiumbe dhaifu sana katika maamuzi na anahitaji kubembelezwa kama mtoto mdogo siku zote. Ole wetu wale tunaojifanya kutafuta usawa hata ndani ya nyumba zetu, tukubali matokeo.

haswa, we kweli ni mwanamke mwenye heshima
 
mwanaume anatakiwa abebwe kama yai, kwa maana kwamba anahitaji uangalifu wa hali ya juu, watu wataishia kulaumu oooh mume wangu kabadilika mara ooh wamemwendea kwa waganga kumbe mchawi wewe mwenyewe, wanawake tujue kuwa kuna nafasi za wanaume na nafasi za wanawake kwenye ndoa, tusiingilie za kwao jamani, tuachee!! tuplay part kwenye nafasi zetu, tukiwatii waume zetu lazima watupende, wakitupenda hakuna nyumba ndogo hapo, wewe mwenyewe ndo utakua nyumba kubwa na ndogo, mambo ya kujidai eti tuna mabavu ya kuwa vichwa kama wanaume kwenye ndoa itatucost, plz ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
 
Chezea nyumba ndogo wewe, na big house usipobadirika unapokonywa mme moja kwa moja! Wale mnaobweteka baada ya kuolewa acheni.....

Mnapenda kutunzwa eeh! hata sisi tunatunzwa, na ndio maana familia zilizohusudu kutunzwa. ZIMEFUTIKA CHUNGUZA,!!
 
Back
Top Bottom