Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Nifundishe kikwenu basi[emoji11]Poa Valentina
Nifundishe kikwenu basi[emoji11]Poa Valentina
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi kukuta tangazo la nguvu za kiume Baridi simiyu
Valentina njo kwangu nikufundshe[emoji12]Nifundishe kikwenu basi[emoji11]
Njoo Pm nikufundisheNifundishe kikwenu basi[emoji11]
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Nifundishe kikwenu basi[emoji11]
We utanifundisha ki wapi[emoji101]Valentina njo kwangu nikufundshe[emoji12]
Pm tena[emoji17]Njoo Pm nikufundishe
Kibariadi.....We utanifundisha ki wapi[emoji101]
Au unataka hapa hapa nikichape kinyantuzuPm tena[emoji17]
Bariadi? Matale, Mbiti, Sanungu, Majahida, Sima, Bumela, Kidinda, Gidulya, Nkololo, Somanda, Dutwa, Mwakibuga, Old Maswa...Mahe nkoyi?Nitake radhi mkuu natokea Bariadi, Simiyu msukuma original dume la shamba
Usisahau na ufutioHapa hapa... Ngoja nikanunue daftari na kalamu kabisa
Mahaha, kiluluBariadi? Matale, Mbiti, Sanungu, Majahida, Sima, Bumela, Kidinda, Gidulya, Nkololo, Somanda, Dutwa, Mwakibuga, Old Maswa...Mahe nkoyi?
Mwanamke- mwanikeHapa hapa... Ngoja nikanunue daftari na kalamu kabisa
Ufutio na rula tayariUsisahau na ufutio
Ha haa hebu ngoja kaumeme karudi tuendeleeMwanamke- mwanike
Babu- ghoko
Bibi - mama
Mama- mayo
Maji - minze
Kijana- nyanda
Hiiiii shiiiiiida sasa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema kiswahili nikutafasirie
Aya vaa na sareUfutio na rula tayari
Nimefurahishwa sana na hii comment hasa hapo penye wa mkoaniUkishakuwa mwanaume basi ushakuwa celebrity Dunia hii thanks God kwa kuniumba mwanaume tena wa mkoani! [emoji123] [emoji123]
Nashukuru mkuu[emoji123]Nimefurahishwa sana na hii comment hasa hapo penye wa mkoani