The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
uwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
Atiiiiiiii unasemaje!!!!!!!!!!!
uwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
uwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
Atiiiiiiii unasemaje!!!!!!!!!!!
Hata mm natafuta mchumba wa kuoa sijui taarifa unazo?
i love u
hahahah lol unataka niandikee kwa lugha ya ki manguree na busa hahah lol:whoo::whoo:
Niliishaanza kuandaa lile panga nililonoa jana
pia kwaq sabab kila siku, kuna vifaa vipya vinaingia sokoni, hivyo competition inakuwa kubwa....Kwasababu huwa tunapenda kuolewa tukiwa bado vibinti vidogo.
Hiyo mirungi itakuwehusha wewe,kuzini na ndoa wapi na wapi?Nani kakuambia kwenye ndo watu wanazini?they afraid god much than men,,,,,,,,,, imean they affraid (kuzini)thats all,,,
uwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
hiyo mirungi itakuwehusha wewe,kuzini na ndoa wapi na wapi?nani kakuambia kwenye ndo watu wanazini?
Mokoyo alikuwa anatafuta mke. Mokoyo njoo uku upenuni afrodenzi ataka mumeuwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
Najisikia kukubaliana na wewe, unajua umri mzuri wa mdada kujichagulia mwanaume anayempenda ni huku 20s, maana wanakuja wengi, na hii ni kwa jinsi jamii yetu ilivyozoea, lakini ukishazidi 30 watu wanaanza kujiuliza kwa nini huku nyuma kote hakupata mtu na wanaume ndio chanzo kikubwa cha tatizo na pia sura ya utu uzima inaanza kujileta na idadi ya wafuatiliaji inapungua. Hapo mdada lzima adate maana akiangalia wenzake wote wameolewa amebaki yeye tu! Na hapo ndipo mdada anajikuta anakubali kuolewa na yeyeto anayetokea hata kama hampendi!Japo sijakuelewa, lakini nadhani ni kwamba kwanza jinsi wanavyoendelea na umri hata ile critical beauty inapotea nahivyo wakumapproach kutongoza wanapungua, likely asiolewe tena na ndipo matusi yantokea kila upande
What is the Average Age at Marriage Worldwide?
In the US, for example, the average age at marriage varies according to social status, family traditions, and even geographical situation. Generally speaking, people in big cities tend to marry later and wait longer to have children, normally well into their 30s. People growing up in rural communities will probably get married for the first time in their early twenties. In developed countries, the average age at marriage has also been pushed back because many couples now choose to live together for years before even considering marriage. In the 1950s, when sharing a home before marriage wasn't the standard, people got married younger.
In countries such as India and Pakistan, where it is tradition that parents arrange weddings, the average age at marriage is 17, with many brides getting married as soon as they turn 15. This is the case also in many African countries, where economic factors force parents to marry off their daughters at an early age. Nigeria has some of the lowest averages in Africa, with most men getting married around 23 and most women at 17.
The average age at marriage peaks higher in Scandinavian countries such as Denmark, where the number is 30.2 for women and 32.5 for men. Sweden, Finland, and Norway are closely behind. In continental Europe, the average age at marriage is lower in the Eastern countries, where the numbers are barely 23 years of age for women in Poland and 26 for men in Romania.
China and Japan have joined European countries in their high averages, which are around 30 years old for both men and women. This is especially true of the major metropolitan zones, but rural areas are quickly catching up to the trend. It's important to note that, in many countries, the average age at marriage is closely related to the number of divorces that occur every year. Young couples have almost three times the chance of ending up divorced than people getting married after 27 years old.