Kwa nini wananwake hukata tamaa mapema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wananwake hukata tamaa mapema?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jamii01, Dec 22, 2010.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Jamani nauliza kwa nini wanawake huwa wanakata tamaa mapema pale anapoona umri wake wa kuolewa unazidi kwenda kama miaka 30 na kuendelea kuliko mwanaume kukata tamaa ya kuoa pale ambopo umri wake naye huwa mkubwa lakini bado huwa ni mvumilivu hata kama anapata madongo mwengi kutoka kwa washikaji na ndugu zake..bado huwa ana moyo wa kuvumilia kuliko mwanamke??
   
 2. v

  vegule Senior Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simple, kwa mwanamke menopause inakaribia, atazaa kwa kisu, vijana wa kuoa beyond 30 wanapungua, pressure inaongezeka toka kwa nduguze, anajihisi ana mkosi au siyo mzuri.
  kwa mwanaume, hakuna menopause, huwa habebi mimba, mbegu zake zipo tu hadi miaka 80, anaweza kuoa mtoto wa miaka 20 wakati yeye ana 50, huwa hawajali sana pressure ya ndugu. Pia hawapendi sana kuwahi kufuga kuku wakati wanaweza kupata mayai kiurahi.
  Nitarejea baadaye ngoja nimalizie kavaleur kangu.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwasababu huwa wanapenda kuolewa wakiwa bado vibinti vidogo.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwasababu huwa tunapenda kuolewa tukiwa bado vibinti vidogo.
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Any therapy?
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  they afraid god much than men,,,,,,,,,, imean they affraid (kuzini)thats all,,,
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Japo sijakuelewa, lakini nadhani ni kwamba kwanza jinsi wanavyoendelea na umri hata ile critical beauty inapotea nahivyo wakumapproach kutongoza wanapungua, likely asiolewe tena na ndipo matusi yantokea kila upande
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa hujanielewa na mi pia sjakuelewa matusi yajaje sasa???????
   
 9. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hahaaa umri wa kuzaa unabita bana
   
 10. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Matusi yanatoka kwa akina dada/mama na hawa ndo waharibifu wakubwa maana wana maneno ya kumfrastrate mwenzao kwa kutumia mifano halisi
  Nahapo ndipo mtu ambaye haoni mwelekeo wa kuoolewa anakata tamaa, na hapa ndo hatari maana akitoke mdanganyifu mmoja anamharibia binti huyo.
  Lakini wadada wana maneno ya kimatusi sana na wanazungumza waziwazi kuwashawishi wenzao kutafuta wanaume- ndo matusi yeneyewe
   
 11. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  are you sure for what you are talking???????????
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wanakuwa wametumika sana na hali ya kuzaa inafifia na kuogopa matatizo ya uzazi :A S-alert1:
   
 13. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hii ni suure kwa asilimia 200
  angaliamfano mzuri hata mashuleni wadada ndo wanshauriana kwa mambo haya, rerely kwa wavulana na pengine wavulana hawajadili kabisa kuhusu masuala haya. Sikiliza huo upade. Ndo mafrastrater wakubwa kwa wenzao
   
 14. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Malizia bwana, wasije wakaingia nzi bure!
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  uwwwiii sijajua hilo nitafutieni mume mie ..
   
 16. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u got it, excellent..!!!!! 100% keep it up, wakicheki ngoma iko used, kapigwa misele kadhaa, kadanganywa hadi basi, umri wake akiangalia clock ni saa 8:59 mchana, na hana imani na mwanaume tena, sasa anakata tamaa, ukimwona utajua tu, her FACE tells everything if u look deep, deep.
   
 17. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eeennheeee.... sasa na mimi ndio nikakwambia ya kuwa waschana huogopa sana mungu,,,yaani huogopa kuzini kuliko wanaumeee,,,,,sasa ndio wakichelewa kuolewa wanapata kawasi wasi fulani hiviii,,,, mana kama ulivyosema huwa wanadiscuss sana mambo ya kuolewa wakiwa school while wavulana wao wala hawanayo na wanayowaza wao ni kufukuzia vibinti mule mule shule kungonoka naooo,,,, wanaume hupenda sana kuzini kuliko wanawake mi pia ntaanzisha thread yangu kama hii halafu kidoogo,,,
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  and for sure my boy hakuna kitu kinachoitwa asilimia 2oo katika maths wala physics,,, hapo umetoka njee ya bracket...
   
 19. T

  The Lady Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Because we are smart and not ready to fight! unamuacha anayekuchelewesha unaenda kwa aliye tayari, mana wapo men pia ambao ni desperate!!!


   
 20. T

  The Lady Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  alafu nanyi wanaume mkiambiwa mnaachwa mnaanza kulia ovyo wakati mkiambiwa commitment mnakuwa not ready always....msshhhy
   
Loading...