Kwa nini wana JF wa zamani hawachangii uzi siku hizi?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
nasema hivo kutokana na baadhi ya thread zilizoandikwa na kuchangiwa miaka 3 au 4 nyuma uko asilimia kubwa ya waandishi na wachangiaji wa hizo thread saiv hawaonekan wakianziasha au kuchangia thread za sasa hivi.... Yes najua kuna majanga kama vile vifo nk. lakin sidhan member wote wa kipindi hicho wamekutwa na hilo janga

Aisee acha niifaid JF kabla haijaisha utamu wake :)
 
Haija chuja, kinacho tokea jf ni kama kwenye jamii tunazo ishi, kuna transformation kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Maisha tuliyo ishi 2009 ni tofauti na maisha tunayo ishi leo, hii ni kama dunia, watu, huja,wanachangamka wanachangia then wana potea ni kama kuzaliwa, kufa au kuhama.
Ukiangalia hata wazee wetu utaskia "enzi zetu maisha yalikuwa mazuri kweli" kila kizazi huwa kinahisi kiliishi wakati ulimwengu ulipo kuwa bora kabisa
Huwa nafukua nyuzi nyingi za zamani zilikuwa nzuri kwa kipindi chao lakin mimi naona kawaida kabisa, na siye tulio jiunga mwaka jana na mwaka huu at least na mwaka juzi tunaona tunaenda sawa tu.
Sitegemei mpaka mwaka 2023 sisi tuliko leo jf tutaiona ni nzuri pia, ila watakao jiunga mwaka 2022 jf ya mwaka 2023 itakuwa kitu bora zaidi.
Wanasema change is difficult but we all need it, jf ingeendelea kuwa ile ile ya mwaka 2009-2013 au 2014, ingeboa pia isingekuwa nzuri. Acheni waje watu wapya na idea mpya na generations zina change it is good.
naipenda jf hivi ilivo
 
Agiza chupa kadhaa za bieri nitalipa.
 
Mkuu umejibu vizuri sana
Hongera
 
Sisi wakongwe wa jf tunapenda kuchangia thread ambazo ni constructive, huwa tunashindwa tunachangie nini kwa sababu thread karibia zote zinahusu mambo ya pichu mara utasikia papuchi cjui dushele.... JIREKEBISHEN VIJANA VINGINEVYO MTAKOSA BUSARA ZETU.
 
Back
Top Bottom