Kwa nini waha-- ni wajuaji (-ve) sana?

Kwa nini waha-- ni wajuaji (-ve) sana?

Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?

Viroba na gongo dogo vitakumaliza! Unaona pumba unazoibuka nazo!!!!!
 
Viroba na viporo vya ugali ni hatari kwa akili yako
 
Hawawatu hawataki muburuzwa,sifa zao: genius,msimamo,watetezi wa wanyonge Tanzania,vipaji km soka na muziki.Kaseja,matola,Lunyamila, Nteze, Makumbi juma, na nk. Muziki Kgm all stars. wabunge: zzk, mkosamali, Kafulila, machali na nk.

Hebu fanya kuliweka jina lako MSHINO kwa lugha ya kiswahili....
 
Last edited by a moderator:
Ukabila huanza namna hii,kila Kabila Lina tabia yake inayolitofautisha na kabila jingine,na hii ni kutokana na experience ya maisha ya vizazi na vizazi vya eneo husika la kabila Hilo,sasa mkianza kukebehi Kabila moja moja ndio hapo ukabila unakomaa na ukishakomaa hakuna tena umoja wa kitaifa,tuishini kutonaka na nyakati jamani dunia ya sasa ukabila wa nini?,acheni kukebehi makabila mengine kwani hata yenu yana mapungufu tu.
 
Waha wala si wajuaji hapa Mwanza vibaka washa wajua kwakujifanya waCongo kwa kupandisha suruali kifuani, wanawapa vibano vya haja, nakuwafundisha maana ya kuishi mjini.

Huna akili. Samahani lakini
 
Ukabila huanza namna hii,kila Kabila Lina tabia yake inayolitofautisha na kabila jingine,na hii ni kutokana na experience ya maisha ya vizazi na vizazi vya eneo husika la kabila Hilo,sasa mkianza kukebehi Kabila moja moja ndio hapo ukabila unakomaa na ukishakomaa hakuna tena umoja wa kitaifa,tuishini kutonaka na nyakati jamani dunia ya sasa ukabila wa nini?,acheni kukebehi makabila mengine kwani hata yenu yana mapungufu tu.

Ndugu, una hekima sana. Hawajui tuko information age bado wanauliza kabila, kweli kusoka na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
 
Hawawatu hawataki muburuzwa,sifa zao: genius,msimamo,watetezi wa wanyonge Tanzania,vipaji km soka na muziki.Kaseja,matola,Lunyamila, Nteze, Makumbi juma, na nk. Muziki Kgm all stars. wabunge: zzk, mkosamali, Kafulila, machali na nk.

Una akili sana. Justification accepted.
 
HAKUNA JAMBO LINGINE LA KUJADILI ??? GREAT thinkers !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom