Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
sheer nonsense/
arifu inasikitisha sana....na hao ndio utasikia jamaa kaenda shule huyo tena udsm kafaulu vizuri na first class ana background nzuri ya spesho skuli ilboru.....arifu unategemea kijana huyo atakaa na kijana wa korea au malaysia wakajadiliana kitu?mwenzakea anawaza ni vipi kama web developer atampiku Jack Dorsey twitter founder.....yeye msomi wa tanzania anawaza kuwa role model wa sharo milionea...ukimtazama huyo kijana atakuwa kavaa mlegezo kama role model wake....kavaa heleni anaongea kama kashuka marekani leo ili tu aimpress jamii fulani mtaani kwake..tunarudi kule kuleeeee apate mashori ajamiane nao atambe street basi tu......ujinga mtupu....
hivi tanzania tuna graduate wa MIT?
Povu la nini sasa? au unadhani kukaa Sinza ndio ujanja? thread iko very clear kama imekuchoma fanyia kazi na siyo kumbwelambwela hapa, mkipigwa chini kazi wiki mbili tu mnaanza kuhaha kama Mbwa na hata viaccount vyenu havina hata mia.nyie wazee mliokuwa mnamawazo chanya mmeipeleka wapi nchi yetu? wazee wengi maofisini hawapendi vijana wapya wawaeleze mbinu mpya za kazi we unategemea vijana walete ubunifu gani? kunya anye kuku akinya bata kaharisha, mlivyokuwa mnaruka majoka mnafikiri ilikuwa poa?. nafikiri ungeongea kistaarabu kuliko kutukana kana kwamba vijana tunaipeleka nchi kubaya kumbe mlishaiharibu toka zamani sana. je ni vijana walioua viwanda?, ni vijana walioingia mikataba mibovu ya madini?. walau wazee mgekuwa mnaakili ya kujiajili leo tungefuata mifano yenu lakini na nyie ni wahumuhumu maofisini tena ndio mnatufundisha kuiba!.
Ujinga ndio huu, nilidhani unawahi site Kinyerezi kwenda kupeleka Cement kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako, wewe kukaa kwenye nyumba za watu mpaka dunia ya leo bado unaona ujanja? wewe ni mbwiga kwelikweli.Those who criticize about our generations forget who raised it...
Ngoja nikafunge sports rim kwenye alteza yangu mie niwahi zangu geto sinza nikalale
Ujinga ndio huu, nilidhani unawahi site Kinyerezi kwenda kupeleka Cement kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako, wewe kukaa kwenye nyumba za watu mpaka dunia ya leo bado unaona ujanja? wewe ni mbwiga kwelikweli.
Kama ulikuwa unadhani unamjuwa Rick Abdallah basi haumjui hata chembe, Rick ana kampuni yake ya Professional Hunting na nimeshawahi kumpa kazi, achana na story za vijiweni.Ha ha ha mkuu mbona povu linakutoka..
Kama ninazo za urithi potential area kama magomeni, kariakoo, ilala na kwingineko, nijipe stress za nini za kujenga kinyerezi... Hapa ni mwendo Alteza tu na bata tu kama wale wazee wanaocheza bao kutwa nzima kariakoo then muda ukifika hao wanaenda zao kuhiji ... Unamjua dr ricky abdalah mchambuzi wa soka.. Yeye anashinda kusoma news za mpira mechi ikiwa nzuri anakwea pipa ulaya anaenda anaicheki anarudi bongo kwa nguvu ya nyumba za ulithi sembuse mimi...
Nazingua tu as sina ulithi hata wa baiskeli.. Ila najua wenye ulithi wapo so usiwasemee watu wala kuwapangia maisha
Asilimia kubwa ya graduate wa kibongo muulize plan zake hata akiwa chuoni..ni kichekesho kudadadadeki....atakuambia anaomba kwa Mungu apate kazi nzuri yenye kuvaa tai posta mpya then anunue gari GX 100 safi ya kuuzia sura kitaa apange nyumba sinza kwa wajanja then atafute shori mkaliiii
awe anajipoza akishapata hayo ni mwendo wa bata kwa kwenda mbele leo kiwanja kile kesho hajui kama anazidi kuuchosha mwili kila siku anaona misifia kunywa mijipombe eti starehe pumbafu kabisa......later aje aoe si ana kila kitu alafu baabdae mke wake si yupo nyumbani yeye atafute hawala wa kujipooza pembeni wana kamseomo kao eti wanampunguzia wife majukumu pambafu kweri kweri......
Hapo plan zake zimekwisha ukimuuliza anafikiria nini? hana yeye anakuambia anakula maisha anakula bata mwanzo mwisho.....ni upuuzi mkubwa tofauti sana na wengiune.....mie najiulizaga kwanini hakuna vijana wanaofikiria zaidi ya hapo? hakuna creativity kabisa kwa kila jambo...hata maofisini ukienda ni yale yale rijamaa bado lina idea za chuoni kwake hana mpya...hajifunzi kitu kipya....hana knowledge yoyote mpya tangu aingie ofisini....hana kiherehere cha kujua kazi....yeye anakomaa na pale alipoambiwa na boss wake.....unakuta rimtu ni cashier yeye anachojua nji kuhesabu hela na kugawa hajiumizi kichwa kujua zikigawawiwa zinakwenda wapi? na kwanini ziende huko na sio huku.....jitu lingine rinajiita limesoma vema computer si likapata dream job yake benki ya crdb linasimamia networking....halitaki kabisa kujua mambo mengine limekomaa na hicho hicho tu...hajui ipo siku mambo yatabadilika kazi yake itauzwa nje kwa wahindi..yeye atakwenda wapi?...pambaafu kabisa.....majitu kama haya ndio yanayofanyaa mapoyoyo kama wakina nape waendele kutamba na kujua liwalo na waliwe lazima 2K15 lazima warudi kutawala.....majitu hayana creativity kabisa hayafikirii itakuwaje baadae....
JI sensa lenu linasema mko 44MIl naambiwa kati ya hao more than 20mil ni vijana ndio policy maker ndio nyie wenye uwezo wa kuamua uelekeo wa ka'nchi kenu pambafu kabisa......lakini sasa hivi wazee ndio wanaofikiri zaidi ya vijana....vijana wakishafikisha target zao basi wamemaliza.......
Siku hizi na hivi mmejua facebook na JF basi hamna kitu kingine cha kufanya online zaidi ya kuchat kutwa.....angalia hata matangaz ya redio yanalenga huko huko.....eti fikiria pumbafu moja linaweka tangazo kabisa la mtandao wa simu eti mimi nachat na tina kutwa nzima...pumbafu kweri kweri......yaaani walifikiria ndio kazi ya internet kutwa nzima??? badala ya kutumia net kunuoa bongo kufanya kutafiti nyie mnachat?? jinga kweri kweri......haya kusoma vitabu hamuwezi...eti hamna hobby hiyo...yaani mbwiga kabisa nyie......uliza rikijana lolote hobby yake nini? utasikia kichefu chefu....atakuwambia....movie,watch footbal,going out na kuongelea..ukiulizia kakulia shinyanga sijui kaogelea wapi? ukitaka kujua vijana hawana muelekeo na natabiiri kiama chao nenda hata sasa hivi posta mpya au ingia kwenye cafee za mtandao utajua......pita mlimani city....everyone is tryin to make aonekane anawakimbiza wenzake....akili na wadada ndio kabisa bongo zao zimejaa masalo.....
kwa sababu ya kulala kwenu pambafu nyie vijana wa bongo natabiri miaka ijayo raisi atakuwa toka india,waziri mkuu kutoka china mkuu wa majeshi mtutsi wa rwanda na wakuu wa mikoa watatoka bangladesh nyie mtabaki kulia lia na kugomgaania vihamba vya kupanga biringanya kariakoo.......
Nimesikia jana kuwa vijana wa tanga wanaongoza kwa kutembea na wamama watu wazima na mademu vile vile.....sibishi maana vijana siku hizi ndio maana wanaliwa tigo wanapenda vitu vya bure bure sana....nenda kinondoni pale kuna majaa yamevalia nadhifu na kujisugua uso siku nzima na kunyanyua chuma ili kuvutia wamama wawalee pambafu kweri kweri....na linajitapa eti kazi yake ni kutoa dozi kwa jimama....pumbafu kweri kweri ndio maana ukimwi unawamaliza......
Badilikeni mabwiga nyie
Uwage unasema wewe ambae sio mbwiga umeifanyia nini nchi, au tutakukumbuka kwa lipi? Au ni misifa ya kijinga?