Kwa nini vijana wa kibongo hamfikiri?

Kwa nini vijana wa kibongo hamfikiri?

Hivi kuna 'special schooler' yeyote aliyesoma kwenye hizo 'special schools' za bongo aliyevumbua chochote? Halafu hizo 'special schools' zenyewe ukiziona hali zake....hmmmm.....ni spesho kweli kweli.



Nipo arif....MIT class of 2001, summa cum laude.

Summa cum laude-MIT......... I salute you Nyani Ngabu
 
ha ha ha ha ha dah kuna jamaa mmoja hivi yani hakuna ambacho umekosea,natamani angeiyona hii comment,
 
Matola hivi kijiti ulichokuwa unatumia wakati wakina shaba ranks na mcHammer ni marole model wako, bado unatumia au ni effects tu zinafanya kazi?
 
Last edited by a moderator:
Yes kazi nzuri mkubwa.Lazima kijana afikiri na awe na uwezo wa kuibadirisha A,B,NA C kuwa pesa.A yako ya darasani itakuwa na faida gani kama unashindwa kuigeuza pesa.Umesoma kijana but unarudi mtaani huna tofauti na wasiosoma.Mchango wako hauonekani kwa jamii.Nini maana ya kwenda shule.Big up YO YO
 
labda vijana wa kwenu tuh,
vijana tunaoishi nao sisi na tuliograduate nao ni great thinkers na sio masela mavi kama hao,
usije na hoja za kujumuisha hulka na silka ya hao uliowaona na kuish nao wewe,,
then usijifanye unakuja na lugha za kuzimu ili uonekane kama wewe uko smart kwa asilimia zote,,
fafanua hoja ueleweke
 
Ukiskia Paaaaaaa.Mku,sor wewe haumo?Au ndo yaleee...ya akina Nya..haoni...?Hila umetema Cheche.
 
USHAURI WANGU KIJANA/ BABA: MEND YOUR LIFE

You were born to this world for a purpose and the aims or targets which you were meant to accomplish have gotten lost and so it is your business to look around for them. If you don’t direct yourself correctly in looking for them, as is mostly the case, you usually end up all over the place and carry life blindly. It is so unfortunate that living blindly has come out to be the business of everybody. Each and every body is a drifter in life and leads the kind of life that was not projected for him from the beginning. You have a wife not targeted for you, you have an employment not targeted for you, you have children not targeted for you, just everything you have was never targeted for you. Now what is even worse is that, you never even targeted them yourself; you just came upon a girl and guessed she was interesting and married that. You just accidentally came upon an employment and engaged in that. You just saw a friend erecting a pharmacy business and you too got the idea and did the same. You saw a wife of the neighbor using contraceptives and thought it was very intelligent of her and implemented it without even minding you targeted it or not. In that manner each and everybody in this world became a drifter in the sea of life. TO MEND ALL THIS, you must have targets. Target something in life and never let it get carried away by the wind by simulating negativity. You are a special person and quite different from all others. You must bring something new and quite different from any other thing ever modeled.
Something no other person can reproduce. Don’t go round yelling blue murder about piracy. Only material of ordinary value can be copied. Cough up something no human can copy. You are the best and there is no one like you, go for the biggest prize. There is only the best for you. Don’t spoil it by thinking as if you were an ordinary person, because you are not. Don’t see a person opening a supermarket and the next day you open yours directly across the street to contend with him.
That’s chickening out and an open advertisement that you are empty of ideas. You will reach nowhere and you will just live like an ordinary person and wait to fade out of the limelight over time. Instead of aiming at becoming an employer, you dream and aim at being employed. You don’t want to be yourself, but rather you want to be like somebody. To sing like him or her, to be great like him. In such cases you will never go above the yardstick you have invented by yourself. If those whom you admire go down, you go down with them. You share their spirit and it controls you. Aim for the highest stations in life because the lower ones are never destined for anybody.
It is when you set out after such a goal as no other person can understand or comprehend or such as will make the doubting Thomases think you are out of you mind that you will really be on the right footing.
You have a higher mind and you are a higher being. You are the only person who can understand your mark. At that point you are at escape velocity and are locating yourself at your higher station just like a rocket puts a satellite into ORBIT.

 
Yo Yo leo umetisha aise. Nakubaliana na wewe kabisa
Matola mkuu umeua aise role model wake ni sharo ina maana mpaka kuvaa au kutembea
Kwa nini isiwe Mark mwanzilishi wa facebook au Bill au Mandela au usiende mbali vijana kama John Mnyika au January Makamba hata kama si kwa kufuata itikadi zao ila at least kuwazia siku moja kuwa kama wao kimaisha kwa kupambana
Unawaza kuwa kama sharo zaidi ya kunywa na kutembea na wawake wengi na kuwaza kuwa na kiGX100 na chumba cha kupanga mitaa ya sinza ni nini

Mkuu mtu atawazaje role model wake kuwa Mandela, Bill, Mark wakati hasomi vitabu na akiwa kwenye net ni kuchart tu?
Tatizo nnaloliona siku za usoni ni kuwa na wimbi kubwa la viongozi mafisadi. Vijana tunapenda sana anasa kuliko kufanya kazi, what do you expect?
 
Tatizo sio vijana wa sasa ila ni ubinafsi wa wazee wetu wasiopenda kutupa miongozo ya maisha na kutuwekea malengo bora katika kuyakabili maisha na kujenga future za kueleweka.Ndio maana leo hii tunabaki kuwashangaa akina Januari Makamba,ni dhahiri kwamba katoka katika mafunzo na miongozo bora kutoka kwa mzee...nimetoa mfano tu....wazee wengine wanaona kabisa vijana wanaharibu ila wanakula bati na huku wakiwa eti kisa muda wao umeishapita..so they dont think of the future of the new generation.
 
labda vijana wa kwenu tuh,
vijana tunaoishi nao sisi na tuliograduate nao ni great thinkers na sio masela mavi kama hao,
usije na hoja za kujumuisha hulka na silka ya hao uliowaona na kuish nao wewe,,
then usijifanye unakuja na lugha za kuzimu ili uonekane kama wewe uko smart kwa asilimia zote,,
fafanua hoja ueleweke

Umeshindwa kumuelewa yoyo.kweli kazi ipo.kuna wale wenzetu wa Tanzania waliosoma shule za vipaji maalumu.nao hawana mchango kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom