Ubaguzi tuu hakuna kingine ila na gap ya walionacho na wasio nacho naona kama inaongezeka kwa kasi,one time nilipita East st Louis nilichoona kule bora Manzese inabidi usali utoke salama na bidhaa kubwa kule ni madawa,guns na uchi
hahaha..nina uhakika tax ninayolipa federal kwa mwaka inazidi gross income yako of 5 yrs combinedBora wangekutandika shaba tu maana huna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kuchuma machungwa huko Racho Cucamonga.
hahaha..nina uhakika tax ninayolipa federal kwa mwaka inazidi gross income yako of 5 yrs combined
I lost my wallet in El SagandaBora wangekutandika shaba tu maana huna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kuchuma machungwa huko Racho Cucamonga.