Kwa nini upendeleo kama huu?

Kwa nini upendeleo kama huu?

Joined
Oct 31, 2013
Posts
46
Reaction score
11
Mambo vp wana JF,?kuna jambo katika jamii ambali nahisi binfsi hatutendi haki,mwanamke anapopata ujauzito uliotarajiwa, kwa maana ya kwamba kuna taratibu zimezingatiwa pamoja na kufunga ndoa.mwnmke huyu hupongozwa na wazazi wke lakn vilevile na jamaa wanaomzunguka,lakini ukija upande wa aliyeshirikiana nae ''mwanaume'' hapewi pongezi hizo,hv mila za kiafrika haziruhusu?au kuna jambo nyuma ya pazia?kwenu wana JF..
 
Mimi kama mwanaume wasinipongeze mpaka pale m/ke atakapozaa nihakikishe kama katoto ni kangu kweli,si unajua hawa wanawake walivyo,mimba za nje ya ndoa imekuwa ni fasheni,sifa,mashindano,
 
Mi napongeza wote!!!na mwanamke anapongezwa coz yeye ndio yupo more occupied na ujauzito!! Na yeye ndo anayebeba huo ujauzito thru 9mnths...
 
Mkuu mambo mengine Mungu kaumba iwe hivo, tuangalie tusije dai haki za usawa kama wanawake. mbona hawadai haki kuoa, mgawanyo wajinsia upo kwenye majukumu na maisha kijumla na sio upendeleo kama unavodhani mtoa mada, tusiendekeze usawa ambao hautowezekana.
 
He mtoa mada vipi tena
Mambo yanayotuhusu sisi wanawake unayaacha kama yalivyo ndugu

Huezi kudai usawa katika jambo linalomhusu mwanamke
Pole sana
 
Dah!, mtoa mada inaonekana ipo siku utadai na wanaume waanze kuingia reba!, au vp?
 
yeah...wote wanapaswa kupongezwa mbebeshaji na mbebaji....
 
Tutaanza kuwapongeza ila na nyie mtusaidie majukumu.
 
unataka kupongezwa una uhakika gani kuwa hiyo mimba ni yako?
 
Back
Top Bottom