rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,441
Wapendwa katika Bwana
Nimesoma Biblia inasema ukimpokea Yesu kuwa katika maisha yako anakuja kufanya makao ndani yako,
Swali
kwa nini baadhi ya watu waliokoka wana mapepo?je inawezekana vipi mapepo yawe ndani ya yule Mtu,kumbuka Yesu alisema ukinipokea nitakuja kufanya makao ndani yako,sio mimi tu bali hata baba yaani Mungu na Roho Mtakatifu wataishi ndani yako,Mtume Paulo akasema sio mimi naishi bali Yesu ndiye anaishi ndani yangu!sasa mapepo na Mungu wataishije kwenye mwili mmoja?
nimeona mifano mingi sana kanisani kwetu,nimeleta hapa labda mtasaidia kufafanua hili