Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,234
Hakika magaidi na waarabu wanasoma sana biblia zama izi (ni kweli kwan hakuna nukuhu toka koran);Ni jambo zuri sana kwan mpango wa kuziweka ktk lugha za wenyeji umetimia.kitakacho futa ni kumfuta kristo
Amin usiamin!!Yesu Kristo ni maarufu kupita watu wote,mitume wote (akiwemo mud),miungu yote (akiwepo allah). Na wala huna haja ya kutetemeka,na kuwehuka,na kutoa povu, na kupandwa majini ya matusi.
Ebu soma mada zote toka enzi za jamboforum mpaka jamiiforum.Ni nani kajadiliwa sana.Pia tembelea forum nyingine,pia miadhara ya uswazi,pia dvd zinazouzwa nje ya miskiti halafu leta jibu.
Back to topic:
Mtu kupandwa na waarabu (mapepo) ni matokeo ya iman haba kama yenu
We mwehu nani alikwambia uarabu ndio uislamu?