Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
Habari zenu bandugu.
Msaada wa ushauri mwenzenu.
Leo nimekutana na x ambaye ni muda wa miez 6 sasa ushapita toka tuachane sababu alitia mwanake mwingine mimba, iliniuma sana sababu nilimuamini kwa kiasi fulani, ilibidi nimwambie tuachane.
Kabla ya leo kumuona, miezi miwili baada ya kuachana alinitafuta akitaka turudiane akidai it was a mistake yeye kuzaa na mwanamke wake but ananihitaji, niligoma sababu nilijiweka kwenye position ya mama watoto wake nikaona its so unfair kuendelea nae wakat ana family tayari na anafaa aijali na kuipenda or angenifanya tuu side chick wake, tho i know the world is not fear kihivyo.
Alisisitiza bado ananipenda nilikataa kurudiana nae ila tukikutana njian tukionana (hatuongeleshani tho) or ikitokea nimemuona nashikwa na hasira sana yan i wish ningekua na bastola ningesukuma risasi or nimfanye chochote kibaya. after that taomba Mungu anisamehe coz nawaza mabaya juu ya mtu kitu ambacho mwenyewe sipendi but inanitokea unconsciously.
Tho najua nimemsamehe na yeye aliniomba msamaha alinikosea, na mimi kumwambia nimemsamehe sina kinyongo na yeye tena. but when i see him i react in a hatred way.
Naombeni ushauri tuu vile ya kukwepa hii hali ya ku`react vibaya nikimuona, kiukweli siipendi.