Nguvu ya Mashine hii haitokani na ukubwa wa Matairi ya nyuma, bali ni gearbox pamoja kukosekana kwa differential unit kwenye usafirishaji mwendo kutoka kwenye gearbox kwenda kwenye magurudumu. Hapa ndipo asili ya nguvu na sio matairisikubaliani na wewe mkuu, ningekubali kama ungekuja na uhusiano wa pressure, force na area na kumbuka hii ni concept ya mechanics siyo hisia za kashata kama unavodai twambie kwa nn matairi makubwa yako nyuma
Hahahahahaaa.. Hayo ya nyuma ndio yanayoendesha mashine kutoka sehemu A, kwenda sehemu B.. Hayo ya mbele yanaongoza tu, hayaendeshi.... So yanayoendesha ndio yanayoshikwa na vizuizi..... Teteteteeeeehndo useme sasa kwa nn hayo makubwa yawe nyuma, na yasiamie mbele na kashata zake??
toa majibu ya kifizikia mkuu acha kuhisi
hizo sababu za pressure /Area unajaribu kudefine tu lkn havina uhusiano na nguvu ya injini..ni kwa sabb mazingingira yakazi zake ni kwenye udongo/matope hivo ili lisikwame ama kutitia inabidi liwe na matairi makubwa sana...Ipo hivi mkuu (japo mimi si mwanasayansi)
Refer
Pressure= Force/Area
Hii ina maana kwamba kadri Eneo linavokua kubwa basi Pressure inakua low (Au ili pressure iwe ndogo basi eneo husika inabidi liwe kubwa). Sasa kutoka kwenye hiyo kanuni ya pressure tunapata hii kitu
Force= Pressure x Area
Hii ina maana kwamba kadri pressure na eneo zinavoongezeka basi nguvu kubwa huzalishwa.
Ndio maana matairi ya nyuma ya tractor ni makubwa ili yaweze kuzalisha nguvu kubwa na hatimaye kuisukuma tractor.
Ni kweli ili traction iwepo ya kutosha lazima grip ya tractor iwe kubwa. Grip inatokana na wt ya tractor. Wt ni force. Kwa 2wd tractors, grip inazalishwa na tairi za nyuma. Jinsi surfaces in contact inavyokuwa kukwa na grip inakuwa kubwa. Tairi za mbele ni kwa ajili ya steering tu. Wakati huo soil compaction is another parameter inayoweza kuaffect soil quality. Ili kupunguza athari za wt isilete compaction kubwa, tairi zinafanywa kuwa pana. Kumbuka pia 4wd tractors tairi za nyuma na mbele ni kubwa kwa ajili ya kueffect traction nyuma na mbele. Wakati mwingine tairi zinajazwa maji ili kuongea wt. Msichanganye kazi ya front end wts ambayo kazi yake kubwa ni kuingeza steererability .Matairi makubwa manene hayazami kiurahisi kwenye udongo. Kwahiyo sio rahisi trekta kukwama. Yaani hayana presha kubwa kutokana na kuwa na eneo kubwa. (Pressure = Force/Area)
Ya mbele hayana kazi kubwa zaidi ya kuuongoza muelekeo wa chombo. Nguvu kubwa (Force) ya trekta inahitajika nyuma kwenye mzigo mkubwa (Load)
Ni kweli ili traction iwepo ya kutosha lazima grip ya tractor iwe kubwa. Grip inatokana na wt ya tractor. Wt ni force. Kwa 2wd tractors, grip inazalishwa na tairi za nyuma. Jinsi surfaces in contact inavyokuwa kukwa na grip inakuwa kubwa. Tairi za mbele ni kwa ajili ya steering tu. Wakati huo soil compaction is another parameter inayoweza kuaffect soil quality. Ili kupunguza athari za wt isilete compaction kubwa, tairi zinafanywa kuwa pana. Kumbuka pia 4wd tractors tairi za nyuma na mbele ni kubwa kwa ajili ya kueffect traction nyuma na mbele. Wakati mwingine tairi zinajazwa maji ili kuongea wt. Msichanganye kazi ya front end wts ambayo kazi yake kubwa ni kuingeza steererability .
muwekee kahawa kidogohahahahaha hii ni history mkuu, kwa mantiki hyo kuna uwezekano wa tairi kubwa kukaa mbele.
achana na habari za kashata, sema kwa nn tairi za nyuma ni kubwa maana kuna tairi zingine kashata hamna lakin bado linafanya kazi
hahahaa mdau hilo jibu au umebadili muundo wa swali....Sababu za mbele ni ndogo kuliko za nyuma. Swali lingine!?
Yani mkuu nimekufa kucheka sasa sijui na hiyo ni sayansiKwanini miguu ya nyuma ya fisi mifupi kuliko ya mbele
Toa jibu lako na wewe unaonaje maana naona unacrash tu bila hojahahaha mzee baba mechanics inakutesa
Katika watu wote wewe upo very collect even if ujatumia physics kiundani ao wengine nipumbatuSababu ya msingi kubwa ni hii..
Kutokana na majukumu ya machine hii pamoja na kupita kwenye vizuizi barabara (matope, Mchonga, uterezi, mawe, nyasi n.k..) kwahiyo ili kuweza kupambana na vizuizi hivi, ni lazima uwe na Matairi yenye kashata kubwa kubwa, pia tairi lazima iwe na upana Mkubwa wa tairi.. So huwezi kupata kashata kubwa kwenye tairi ndogo.. Ili upate kashata kubwa, ni lazima tairi liwe kubwa na upana wa kanyagio la tairi uwe Mkubwa....
Tairi za mbele zimekua ndogo na nyembamba ili kurahisisha kuongoza mashine na kuifanya steering kuwa laini ktk kuiendesha mashine .
Asante sana mkuuKatika watu wote wewe upo very collect even if ujatumia physics kiundani ao wengine nipumbatu