Kwa nini tusiachane na Disemba 9.

Elevat Kapela

JF-Expert Member
Dec 9, 2017
630
1,837
Ndugu zangu Watanzania ili kubana matumizi yasiyokuwa ya lazima Kwa nini tusiache kuazimisha maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika ambayo limeshakufa tangu 1964 na tubaki tunaazimisha April 26 siku ya Muungano. Na fedha za maadhimisho ya Disemba 9 zipelekwe kwenye shughuli za maendeleo au kulipa madai ya walimu ?
 
Utakuwa mwalimu wewe.
Usipoadhimisha siku ya uhuru wako utakuwa mwendawazimu; ni sawa sawa na kufuta historia ya nchi yako. Mara mia tusiadhimishe Muungano ila sio Uhuru.
Mwalimu nenda vicoba ukalambe loan upunguze stress.
 
Hili ndilo tatizo la kutawaliwa na mkoloni CCM maadui watatu bado wanaathiri watu.
 
Back
Top Bottom