Kwa nini tunawaamini Wachina kuliko Makaburu?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Naomba kujua kwa nini tuna imani na wachina kuliko waafrica wenzetu Makaburu kutoka Africa ya kusini?tulitembelea nchi hiyo na tulijionea jinsi makaburu walivyoijenga nchi ile na kuzidi nchi nyingi za ulaya,kwa taarifa tulizopewa ni kwamba Makaburu ndio hasa waliojenga taifa lile na kama siyo wao nchi ile ingekuwa kama nchi nyingine za kiafarica kwa sababu Waafrica weusi kutoka pale hawana tofauti na sisi!kinachonishangaza ni kwa nini tuwatumie wachina kwenye kujenga nchi zetu na makaburu walishaonyesha mfano mzuri kwenye nchi yao?kwa nini tusiwape makaburu kazi zote hizi kama sisi tumeshindwa kwa kuwa wanatoka africa na hela zote watazitumia africa??makaburu wanafanya kazi za uhakika na ni wachapa kazi sana tu,je huo ndio uafrica wetu wa ulimbukeni???tutafika?
 
japo makaburu nao ni corrupt somehow lakini ukiangalia kwa undani ilitakiwa tufanye nao kazi kwa sababu ni waafrica wenzetu,mambo tunakoenda yatabadilika
 
kazi haziangalii kaburu, mchina wala mhindi as long as umemeet vigezo vinavyohitajika basi utapata, inaonesha mchina ndo anameet vigezo and not otherwise
 
Back
Top Bottom