Kwa nini tunauana sisi badala ya kuwaua viongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tunauana sisi badala ya kuwaua viongozi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jile79, Jan 6, 2011.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikisikitika sana hasa pale vurugu zinapotokea (Mfano-Arusha) na watu wanapigana na kuuwana na kuumizana huku wale waanzilishi na waminyaji wa haki ambao ndiyo chanzo wakiwa wa kwanza kuzificha familia zao na kulindwa na vyombo vya dola. Mbaya zaidi polisi ambao ni raia wenzetu wanakuwa wa kwanza kutekeleza amri za wakubwa za kuuwa watu hovyo.
  -Kwanini sisi wananchi tusitafute wahusika na familia zao na kuziangamiza kabla ya kugombana sisi wenyewe?
  -Kwanini polisi/vyuombo vya dola wakubali tu kutekeleza amri za wakubwa?
  Mfano tulijua kikwete ameingia madarakani kwa udanganyifu basi tungewatafuta kikwete mwenyewe, watoto wake na wake zake tungewaangamiza kwanza kwani ndiyo chanzo alafu sisi tujadili mustakabali wa taifa letu, sawasawa na ivorycost wangemkamata watara na familia yake na kuiangamiza kwanza.,..watu wa ARUSHA wangetafuta km chanzo ni kisasi cha akina Batilda Buriani na wenzake basi tuwatafute hao na familia zao tuwaangamize baadaye tujadili mustakabali wa ARUSHA MPYA....na polisi watusaidie kuwakamata kuwaondoa na hata kuwauwa wanyongaji wa haki kwa makusudi na sio raia wanaodai haki....
  MIMI NITASKUWA WA KWANZA KUSHIRIKI KWENYE MPANGO HUU WA KUTAFUTA VIONGOZI CHANZO CHA MATATIZO NA FAMILIA ZAO NA KUWAUWA KWANZA KABLA SISI HATUJAUANA BILA MAKOSA
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Jile79
  Usiwe na hofu hatua hiyo inafuata hivi karibuni.
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmmh hali itazidi kutisha na kuwa mbaya kuliko unavyodhani!you call a sped a sped?
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ndiko tunakoelekea mkuu vuta subira
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Naamini haya yangekuwa yanafanyika duniani kote basi kusingekuwa na vurugu za polisi kuuwa raia kwani tungekuwa kwa pamoja na kwa kushirikiana na polisi tunatafuta vyanzo vya uvunjaji wa haki na tungekuwa tunaangalia km wamevunja kwa makusudi ili kutuangamiza watz tusiokuwa na hatia basi tuwaaue au km ni bahati mbaya tuwafunge milele na familia zao
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Mi nimechoka sana jamani....viongozi walioko madarakani hawawezi kuendelea kutufanyia vituko vya wazi na kikatili kiasi hiki alafu tunaendelea kuwapigia magwaride........lazima tuchukua hatua ambazo huwa hazichuliwi kwingineko duniani

   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Itatisha namna gani....hujui kuwa hata polisi wanapouwa wanaumia vibaya sana moyoni mwao?.....sasa wale wanaowaamuru tukiwakata vichwa nao watapata pa kupumulia kwani pia hawapendi kuua.............


   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Hivi tunakuwa hatuwajui kweli wale maaskali wanaotekeleza amri ya kuua watu hovyo ili tufuatilie familia zao na kuziteketeza?........watakao kuwa na taarifa za namna hii watusaidie kwani haiwezekani askari akapelekwa tu km ng'ombe kwamba ua naye anaua.......tuwafuatilie tuwajue na tuwaangamize pia kwani nimeona kwenye picha wengine wakipiga mabomu na risasi wanacheka....inabidi vicheko vibadilike na kuwa huzuni majumbani mwao km watz wote tulivyo na huzuni ya kuuliwa wanamapinduzi wetu
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Haya ni maoni ya MPAYUKAJI.BLOGSPOT.COM

  Damu imemwagika Tanzania kwa mara nyingine. Kipindi si kule Zanzibar bali Bara ambako kulidhaniwa kunakaliwa na "makondoo."

  Rais aliyerejea madarakani kwa wizi wa kura wa Tanzania Jakaya Kikwete, amejiongezea sifa nyingine ya uuaji. Wachambuzi wa mambo watakubaliana nasi kuwa serikali ya Kikwete licha ya kuuibia umma kura na fedha, sasa imefungua ukurasa mpya wa uimla na umwagaji damu.

  Kosa lililotendwa na watanzania maskini eti ni kudai haki yao ya kuzuia Kikwete na genge lake wasiendelee kuwaibia.

  Tarehe 5 Januari 2011 inaingia kwenye kumbukumbu chafu za taifa letu. Kwani ni siku, kwa mujibu wa taarifa toka kwenye tukio mjini Arusha, ni kwamba watu wasiopungua kumi wameauawa na mamia kujeruhiwa na polisi waliotumwa na Kikwete kuzuia maandamano ya kupinga wizi wake na genge lake linalotumia kampuni ya Dowans kutaka kujipata jumla ya shilingi 185,000,000,000 just kwa kuwahujumu watanzania. Pia mali zenye thamani ya mabilioni zimeharibiwa.

  Taarifa zinasema polisi wamefyatua risasi kwa siku nzima na kupasua mabomu ya kutoa machozi kwa siku nzima kupambana na waandamanaji wanaotaka viongozi wao waachiwe.

  Ni genge hili hili ambalo chini ya kampuni mama wa Dowans ya Richmond liliweza kuiba mabilioni ya fedha kwa kujilipa jumla ya shilingi 152,000,000 kwa siku kwa miaka miwili. Kwa kipindi hiki kifupi genge hili lilifanikiwa kuubia umma wa watanzania maskini jumla ya shilingi 110,656,000,000.

  Kumbuka. Ni genge hili likiongozwa na Rostam Aziz na Edward Lowassa liliasisi,kwa ya msaada mkubwa wa Benjamin Mkapa,lilivunja Benki Kuu na kufanikiwa kuiba mabilioni ya shilingi yaliyotumika kumuingiza Kikwete madarakani. Mchovya asali hachovyi mara moja. Baada ya Kikwete na genge lake kunogewa, waliasisi wizi mwingine ambao umesababisha umwagaji damu na ukatili wa ajabu siku tajwa.
  Kumbuka. Siku chache kabla, mtandao wa Wikileaks uligundua wizi mwingine kwenye ununuzi wa rada na kukwama kununuliwa ndege tano zilizopaswa kufufua Shirika la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) lililouawa na serikali fisadi.

  Wengi wanajiuliza. Kwa kosa hili dhidi ya ubinadamu Kikwete ataukwepa mkono mrefu wa sheria wa Mahamaka ya Kimataifa ya The Hague inayoongozwa na mwendesha mashitaka wake machachari Louis Moreno-Ocampo ambaye amewasambaratisha vigogo nchi ya jirani ya Kenya?

  Baada ya katibu mkuu wa CHADEMA na mgombea urais anayeaminika kushinda kwenye uchaguzi ulioibiwa lakini akaibiwa ushindi Dk. Wilbroad Slaa kutoa madai kuwa nyuma ya Dowans kuna Kikwete, Kikwete alipandishwa hasira kiasi cha kuamuru mauaji haya ya halaiki. Je amani ambayo Kikwete na waramba viatu wake wamekuwa wakiimba sasa iko wapai? Za mwizi ni arobaini na Mungu hamfichi mnafiki. Sasa Kikwete na uchafu wake yuko uchi mbele ya mataifa kuona.
  Tunahimiza watanzania kutotishwa wala kukubali yaishe. Waandamane na kujitoa mhanga kuhakikisha genge la majambazi wenye madaraka linatimuliwa kama siyo kufikishwa The Hague. Hakika SAA YA UKOMBOZI ni hii.

  Kikwete amejitengenezea mwenyewe waranti ya kwenda The Hague kuungana na wenzake kina Charles Taylor na Omar Bishkir Bashir.

  Kuna maswali muhimu yanayopaswa kujibiwa na watanzania:
  1. Kweli Tanzania ni nchi ya amani na utulivu au woga tu na kutokuwapo mapigano ya bunduki?
  2. Je kipindi hiki Kikwete aliyenusurika Februari 2008 kwa kashfa ya Richmond baada ya kumtoa kafara swahiba yake Lowassa, atanusirika?
  3. Je watanzania watanywea mbele ya ubabe na ufisadi wa wazi wa Kikwete na genge lake?
  4. Je watanzania wataridhia kuendelea kunyanyaswa na jeshi la polisi ambalo linaendeshwa kwa kodi zao?
  5. Je watanzania wamefikia wakati na mahali pa kusema enough is enough?
  6. Je Kikwete atakuwa kichwa ngumu na mpuuzi kuendeleza ubabe na mauaji akijua ICC imeishatandaza nyavu zake Afrika?
  7. Je mafisadi kwa kutumia serikali yao ya kifisadi wataendelea kuibia nchi huku wananchi wakiendelea kusota?
  8. Je Kikwete ameamua kufa na mafisadi hata kwa kuhatarisha usalama wa nchi?
  9. Je jeshi la polisi litaendelea kujirahisi na kutumiwa kama nepi na akina Kikwete kuwapiga ndugu na jamaa zao wanaodai haki zao?
  10. Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Kikwete? Maswali ni mengi kuliko majibu.
  Kama mpiganiaji haki za binadamu, nashauri umma usimame kidete na kujikomboa vilivyo kutokana watawala wezi na woga wanaoiba kodi na kuitumia vibaya kulipa majeshi yao kandamizi
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja ujue ccm imezidiwa aijui nn chakufanya kwani wadanganyika wameamka ucngizini kabla ya mda ambao ccm walipanga ndomana mbinu zao zimefail wadanganyika ni majitu yolokuwa ucngizini ccm akutakiwa kuyaamsha bila mikakati ya kupambana nayo
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  najua uchungu uliopo juu ya nchi yetu Tanzania,najua lengo ni kuteketeza wanaotuteketeza lkn swali ni kwamba kwa nchi yetu hii nani wa kumfunga kengere Paka?Nguvu iliyojitokeza arusha na nguvu ambayo ingejitokeza mwanza inaweza kuwa ni starting pint nzuri sana kwa wote wenye mapenzi mema na nchi yetu,kiukweli hali si swali Tanzania.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Mimi nimechoka kuendelea kuona watu wanauawa hovyo eti kwa sababu fulani alichakachua kwa maslahi ya fulani......kwa nini huyo fulani na mwenye maslahi wake tusiwachinje yeye na kuwaacha watu wengine salama?
   
 13. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Fisi na Uroho wake kamwe hathubutu kuonja mnofu wa Fisi mwenzi wake hata njaa iume vipi.
  Simba hamgeuzi Simba mwenzie nyama.
  Ni kweli Nguruwe hula chochote hata nyama ya nguruwe mwenza bila aibu.

  Lakini watu jamii ya CCM wanatamani minofu ya watanzania wenzao kama kutamani nyama ya nundu ya ng'ombe.
  CCM imejaa watu wenye akili ya nguruwe, kula wenzao
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Its true ..but it begins with you....hakuna lisilowezekana na haya ndiyo mawasiliano yenyewe........tujue polisi wanaoshabikia kuua raia wasiokuwa na hatia tuwanote tuwashughulikie nao wapate kauchungu kidogo km sisi tunavyoumia kwa wanamapinduzi kuangamizwa wakati viongozi waliopo hawana faida yoyote zaidi ya kutufarakanisha tu

  mi naongea kwa uchungu sana na nina hasira mno na ccm na kikwete na lowasa na rostamu na walamba miguu wao

   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Tuwakatae hawa....tuwalaani hawa..........tuwatafute pia...tuwashughulikie kwa namna tuwezavyo...tusiseme yaishe....kwani wataendelea kutuangamiza......wanaanza kwa kauli...


   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!hii inatisha sana!!
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Naamni kila mtz anachukizwa na hali hii mbaya ya watu kuuawa km ngedere?
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Utafanajje km inatisha ndugu yangu...kwa style hii kesho na kesho kutwa wewe au ndugu yako au rafiki yako anatwangwa tu risasi eti kwa sababu ya kudai haki kwa amani
   
 19. P

  Paul S.S Verified User

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mods mko wapi? huyujamaa lazima atakuwa anaroho ya kinyama kuliko hao watawala wanyama.
  Someni kwa makini post zake anachochea mauaji ya halaiki kwa kigezo cha ufisadi wa ccm
   
 20. m

  mzambia JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Good starting na hivi karibuni maandamano yataamia mbeya muone moto wake ambao kuuzima sijui risasi za mbinguni na hivi mbeya wanavyoitamani kura ya maoni ya kujitenga kama sudani ya kusini nyie mtaona tu.
   
Loading...