Karibu na mkuu.
Babu kwa kweli hapo pagumu, ila inabidi tu kwa kuwa dhamira nzuri ya kulinda hawa kondoo wa kienyeji dhidi ya kondoo pori ipo, unafanya lile linalowezekana tu kuwalinda, kwa kupata nao quality time ukashare uliyaona kabla ya kushaafu naamini kabisa wapo wachache watakao kuelewa na kubaki zizini, ila wale vichwa ngumu kama akina Tized huku ambao hatuamini bila kuonja, tuache tu, majuto si baadae mkuu bora tu ushishindwe tu kusema.
Kuhusu kuwatafuna mwenyewe, mkuu kwa kuwa umestaafu na pension yako umekula, Hatutahijali tena kukupa mkatafa mfupi, Inatosha mkuu uzoefu tutatafuta wenyewe hatuhijaji experiencedz. LoL!!.