Kwa nini tunalaumiwa lakini???

Kwa nini tunalaumiwa lakini???

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,653
Kwa wale wafugaji, wanajua vizuri tu kwamba mfugaji bora hupenda mifugo yake, huwalinda na hata hataki mmoja wao achinjwe. Pia wapo wale ambao wanapitiliza kwa upendo hadi kulinda mazizi ya ndugu na marafiki zao ili yasiingiliwe na majangili ....(siongelei meno ya ndovu lakini)!

Katika hali ambayo wengine wanaona ni ajabu, baadhi ya wastaafu tumeishia si kulinda vyetu tu, bali hata vya ndugu na marafiki.

Sasa kosa letu liko wapi? Kwa nini tunalaumiwa?

Babu DC!!
 
na kwanini ulinde kama hujapewa ruksa ya kulinda au ukipewa ruksa ya kulinda kwanini unavuka mipaka hadi unawaingiza mifugo kwenye hifadhi ya taifa.................................
 
Babu DC!!!! weka mbali na tembo!!!!!!!

Mkuu kwa kuwa mtu unakuwa umepitia na umeona uzuri na ubaya wake mwingi hutamani tena kuona unaowapenda wakitoka nje ya zizi. Kwa kuwa kondoo anakuwa bado hajajua kama mlindaji, lazima tu ataona ananyimwa fursa yake adhimu ya kujichanganya na kondoo mwitu.

Ikishindikana we waache tu Mkuu wawe huru maana jamaa bado anakazana na meno ya tembo kwa sasa. Bado hajahamia zizini.

Unamaanisha kuwe ile amri ya kumpenda jirani yako kama nafsi yako hatekezeki siku hadi mhusika atoe ruhusa?

Halafu, mbona enzi zetu tulikuwa twalea watoto wote hata bila kuhitaji kuwafahamu wazazi wao?

umeshasema enzi zile,siku hizi mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio saa ngapi utamlea kama sio kutafuta ustaarabu wa kumgegeda.
 
Babu DC!!!! weka mbali na tembo!!!!!!!

Mkuu kwa kuwa mtu unakuwa umepitia na umeona uzuri na ubaya wake mwingi hutamani tena kuona unaowapenda wakitoka nje ya zizi. Kwa kuwa kondoo anakuwa bado hajajua kama mlindaji, lazima tu ataona ananyimwa fursa yake adhimu ya kujichanganya na kondoo mwitu.

Ikishindikana we waache tu Mkuu wawe huru maana jamaa bado anakazana na meno ya tembo kwa sasa. Bado hajahamia zizini.

Ahsante sana mkuu.

Hivi mtu unaanzia wapi kuwaacha kondoo wa mshikaji watafunwe au uwatafune mwenyewe?

Kuna shule inafundisha haya makitu? Na uzee nitayaweza matheory na prakitiko?

Babu DC!
 
nini hiki tena.au
babu unafuga nini maana last time nilivokuja kwako siokuona kuku.bata hata inzi sikuona
au fisi mvunguni?
 
umeshasema enzi zile,siku hizi mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio saa ngapi utamlea kama sio kutafuta ustaarabu wa kumgegeda.
Kwani kwenye pori la nyoka, wote ni wabaya?
 
bora nyoka tunawatambua wakali,wapole,wenye sumu kali nk kuliko mabazazi ukiyaona huwezi kuyatofautisha kama huyu ni kondoo au mbwa mwitu mpaka akurarue ndo utamkubali
 
nini hiki tena.au
babu unafuga nini maana last time nilivokuja kwako siokuona kuku.bata hata inzi sikuona
au fisi mvunguni?

Babu hafugi bwana Smile, ila anawapenda sana kondoo wote. Hataki wachinjwe chinjwe hovyo kabla mgogoro wa nani anaruhusiwa kuchinja haujapata suluhu.

Kosa lake liko wapi sasa?

Babu DC!!
 
bora nyoka tunawatambua wakali,wapole,wenye sumu kali nk kuliko mabazazi ukiyaona huwezi kuyatofautisha kama huyu ni kondoo au mbwa mwitu mpaka akurarue ndo utamkubali

Sasa sie wastaafu tunaotumia kila jitihada kuzuia huo unyang'au mbona tunapalaumiwa sana?
 
imani imeshatoweka,kula urefu wa kamba yako babu mile zinazobaki waachie wengine
 
umeongea kimafumbo

Hakuna mafumbo bwana!

Kwani wewe unaona ni sawa kuwachinja chinja kondoo wa jirani yako kiwizi wizi? Wewe pia waweza kumwibia mshikaji kakondoo kake?
 
sielewi kwa kweri
am too old for this
 
sielewi kwa kweri
am too old for this

Soma kwa makini best soma katikati ya mistari utaelewa tu.
Ila nadhani unapata shida kuelewa kwa kuwa wewe bado ni bikira.
 
Babu dunia ya leo si kama ya jana ambayo maadili na utu wema ndio ilikuwa kigezo cha maadili mema.
Leo hii hata hiyo mifugo inalilia kuchinjwa tena kwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom