Kwa nini transcripts hazitambuliki ofisi za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini transcripts hazitambuliki ofisi za serikali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by vngenge, Aug 14, 2011.

 1. v

  vngenge JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Inakuwaje kwenye ofisi za serikali academic transcripts hazikubaliki katika mpaka upate cheti original cha chuo wakati huohuo vyuo vyao vyeti huchelewa mno inaweza fika hadi miaka miwili na zaidi mfano T.I.A hawaoni wanaminya haki za watu! Mnasemaje waungwana?
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Transcript zinakubalika isipokuwa wengi watataka uende na confirmation letter toka Chuo ulichosoma. Sababu ni kukwepa forgeries nyingi
   
 3. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  transcript ndo zinatakiwa serikalini, wao huwa hawataki result slip hata kwenye matangazo yao mengi wanaandika result slip not allowed
   
Loading...