Kwa nini TBC1 Ilichelewa Kurusha Mahojiano ya Jana Usiku Hewani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini TBC1 Ilichelewa Kurusha Mahojiano ya Jana Usiku Hewani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Companero, Oct 30, 2010.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Na kupelekea Wananchi tulio wengi tusione jinsi maswali ya mwanzo yalivyojibiwa!
   
 2. b

  bulunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wanataka waseme hata wao matangazo yanakatika to crush slaa complains kuwa hukatiwa matangazo, lakini wao tv zote zao hata ccctv ya china:A S-baby:
   
 3. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Muundo wa Serikali aliotueleza mheshimiwa JK sikuuelewa vizuri kwenye swali lililoulizwa. Kuna mtu anaweza kutufafanulia vizuri?
   
 4. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Si wewe tu hata mimi sikuelewa jibu alilotoa Kikwete, nakumbuka alijibu muundo wa serikali yake ni kuondokana na utegemezi wa Typewriter na kuanzisha mitandao imsaidie hata anyeomba Viza Sengerema asihangaike kuja Dar, jamani hilo ndilo jibu lake na mimi nisaidieni uwezo wa kufikiri wa huyu mtu.
   
Loading...