Kwa nini stori nyingi zinahusu wanawake zaidi?(wanaume tu)

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Merry x mass
wakuu kwa utafiti wangu nilioufanya nimegundua kuwa stori nyingi sana zinazopigwa na wanaume iwe ni mashuleni,vyuoni,makazini,vijiweni au popote pale zinawahusu wanawake zaidi.hivi hakuna stori nyingine zaidi ya "mizigo"?ni hayo tu!
X mas njema wakuu
 
Wanawake ndio wanaizungusha dunia.......kwenye muhimili wake......
 
Aliumbwa Adamu kwanza ! Then Creater akasemaje? Nikufanyie msaidizi. Nini kinagomba Boss kumzungumzia msaidizi wake kwa namna atakavyo!
 
unaona wamekujibu wanawake zaidi! positive na negative poles huvutana!
 
Back
Top Bottom