Kwa nini sitakagi kusikia neno: Valentine

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
754
Points
1,000

ze farmer

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
754 1,000
Hii ndio sababu.
Mnamo tar14/02/2010 kama ilivo siku zote zenye tar hio kasoro mwaka yaani 14/02/xxxx, ilikuwa valentine. Nyuma ya hio tar yaani 13/02/2010 niliongea na binti mmoja mrembo sana aliyekuwa mtuliza kiu wangu. Tulikuwa tukiishi mkoa mmoja. Basi ikabidi tupange aje ashinde kwangu siku ya valentine mana alikuwa anaishi na shangazi yake asingeweza kulala.
Sasa kama kijana nikashawishika kujiandaa kwa game vilivyo. Kama mjuavyo watasema tafuna mihogo mibichi, kula dona samaki, kunywa maji mengi, piga mazoezi, kula karanga mbichi na wengine huenda mbali zaidi na kusema piga kitu cha KONGO. Vyote nilifanya kasoro kitu ya KONGO.
Jioni ya tar 13/02/2013 nikajisogeza kitaa cha jirani nikaona wanauza PWEZA nikanunua nikala na nikapiga mchuzi ule wa pweza hii yote ni kujiandaa na GAME kabambe.
Mazee nilihalisha siku 3 mfululizo na hata Valentine sikuisikia na yule binti ilibidi arudi kwao bila game na ndio siku alinisaliti.
Since then neno PWEZA NA VALENTINE sitakagi hata kusikia.
 
mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
9,262
Points
2,000

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
9,262 2,000
Hii ndio sababu.
Mnamo tar14/02/2010 kama ilivo siku zote zenye tar hio kasoro mwaka yaani 14/02/xxxx, ilikuwa valentine. Nyuma ya hio tar yaani 13/02/2010 niliongea na binti mmoja mrembo sana aliyekuwa mtuliza kiu wangu. Tulikuwa tukiishi mkoa mmoja. Basi ikabidi tupange aje ashinde kwangu siku ya valentine mana alikuwa anaishi na shangazi yake asingeweza kulala.
Sasa kama kijana nikashawishika kujiandaa kwa game vilivyo. Kama mjuavyo watasema tafuna mihogo mibichi, kula dona samaki, kunywa maji mengi, piga mazoezi, kula karanga mbichi na wengine huenda mbali zaidi na kusema piga kitu cha KONGO. Vyote nilifanya kasoro kitu ya KONGO.
Jioni ya tar 13/02/2013 nikajisogeza kitaa cha jirani nikaona wanauza PWEZA nikanunua nikala na nikapiga mchuzi ule wa pweza hii yote ni kujiandaa na GAME kabambe.
Mazee nilihalisha siku 3 mfululizo na hata Valentine sikuisikia na yule binti ilibidi arudi kwao bila game na ndio siku alinisaliti.
Since then neno PWEZA NA VALENTINE sitakagi hata kusikia.
hahahaha ulipiga konyagi?
 
Forum statistics

Threads 1,388,884
Members 527,824
Posts 34,013,241
Top