Kwa nini siku zote yeye tuu?

Kwa nini siku zote yeye tuu?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
594258612.jpg
 
Washabiki wa Man City watakuja.

Hivi kuna washabiki wa Man City bongo? Lol me nlikuwa sijui, me najua wanapataga tu shavu kutoka kwa mashabiki wa Arse8, Liverfool na Chelsinki huku Arse8 waliochoshwa na timu yao wakiwa wengi ndio wanasimama mstari wa mbele.

Nilicheka sana jana baada ya kuona jamaa zimevaa jezi za Chelsinki zinajiita benchi la ufundi Man City....kwao bora wakose ubingwa lakini achukue City....lol
 
Ndio hivyo, siku hazilingani maisha yanasonga. Msisononeke sana Man U, mbona sisi tulichapwa 8-0? Mpumzike kwa amani
 
afathali sisi blackburn tushazoea magonjwa yetu ya moyo.. Karibuni man 6-utd
 
Back
Top Bottom