Kwa nini Osterbay?

Kwa nini Osterbay?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"

Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!

Kwa nini Osterbay?

Wanataka kukichafua kituo cha Polisi Osterbay?

Osterbay wanaweza kukwepa lawama?
 
Kituo chenyewe uki kiona kimekaa kishua kumbee
 
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"

Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!

Kwa nini Osterbay?

Wanataka kukichafua kituo cha Polisi Osterbay?

Osterbay wanaweza kukwepa lawama?
Labda ni LOGISTICS CENTRE KWA UTEKAJI, MAUAJI NA WAPI WAHANGA WAWE DUMPED. Oysterbay.
 
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"

Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!

Kwa nini Osterbay?

Wanataka kukichafua kituo cha Polisi Osterbay?

Osterbay wanaweza kukwepa lawama?
Polisi imegeuka kundi la kigaidi sasa
 
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"

Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!

Kwa nini Osterbay?

Wanataka kukichafua kituo cha Polisi Osterbay?

Osterbay wanaweza kukwepa lawama?
Hata mimi huwa sielewi utakurlta mtu anaishi mburahati au Tabata lakini kapata shida fulani.. utasikia ameripoti kituo cha polisi o'bay.
Kuna siri gani huko...?! Vijana wamjini tuambieni.. sie wengine tupo huku Nkasi.
 
Back
Top Bottom