Jibu ni rahisi, Obama hakumsamehe TRUMP tangu alipo tangaza kwamba Obama hapaswi kugombea kiti cha Urais Merikani kwa kuwa ni Mkenya aliye zaliwa Mombasa, akaongezea kudai kwamba cheti chake kinacho onyesha Obama alizaliwa katika kisiwa cha Hawaii mjini wa Honolulu cheti hicho ni feiki!!
Madai hayo karibu yamukoseshe Urais Obama, kitu ambacho Obama hakujua ni kwamba njama hizo zilisukwa na Hillary Clinton ili aweze kupata kisingizio cha kumuengua Obama asiteuliwe na chama chake cha Democratic kuwania Urais - Clinton alitaka asiwe na mshindani ndani ya chama chake, bahati nzuri njama hizo ziligonga mwamba - njama hizo zilikuja kuwekwa adhalani mwaka jana na Trump mwenyewe wakati wa Kampein.