.....kwa nini Nyerere peke yake alifanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.....kwa nini Nyerere peke yake alifanya?

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by fabinyo, Oct 19, 2011.

 1. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kipindi hiko sikuwepo,wala sina maelezo ya kutosha ya kihistoria kwa nini siku ile ya muungano,mwalimu hayati nyerere alichanganya udongo wa tanganyika na zanzibari peke yake?hayati karume alikuwa wapi na kwanini hawakushirikiana katika uchanganyaji?naomba mnisaidie,kweli sifahamu chochoti juu ya hilo..
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2014
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Naona kila mmoja hana jibu kwa hilo swali lako kwa miaka mitatu sasa.
   
 3. wabara

  wabara JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2014
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 1,513
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inakusaidia kuelewa kuwa huo Muungano wenyewe ni wa kulazimishana dhidi yao.

  Na kwanini hotuba za huo ati Muungano mara zote huongea Nyerere pekee au mwenzie alikuwa hana
  :-

  1 : chakuongea
  2 : hakujua kuongea
  3 : kwa sababu ya ujanja ujanja wa Nyerere
   
 4. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,243
  Likes Received: 3,395
  Trophy Points: 280
  Karume alikuwa zuzu shule ilikuwa hana mwalimu akamzidi ujanja
   
 5. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2014
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukichunguza vizuri nahisi kuna ukweli.
   
Loading...