ungewauliza dd zk kwanza!!
Nahisi kama unanidanganya vile...
imekula kwako hiyo
Hii ni kwa wanawake wote wanaoitwa wanawake.hivi huwa hamuwezi kun'gamua wanaume tunapowadanganya,unakuta mwanamke anakusimulia mwanaume fulani kaniambia hivihivi na hivi. wakati hata mtoto mdogo wa kiume anaweza kujua huu ni uongo.Huwa najiuliza hamna uwezo wa kun'gamua uwongo?
Kudanganya wanaume ndo rahisi sana. Mie nimejenga house nimeipangisha yeye anajua ni ya Shangazi yangu namsaidia tu kukusanya kodi. Ndo kusema uongo wa wanawake umeenda shule
angekua hajakumega hapo ungekua umemdanganya mama bt kama ushaliwa mjomba kashinda tehee tehhe