Kwa nini ni rahisi sana kumdanganya mwanamke

Kwa nini ni rahisi sana kumdanganya mwanamke

Inamaana we ujawai kubipiwa na kutuma vocha na mwenzia anapingiwa na kutumiwa vocha kama ujawai we ni mgeni katika mahusiano au unaangalia yako tu ususani unapo kubaliwa?
 
unapomdanganya mwanamke anakukubalia anajifanya anakuamini sana ni njia ambayo mimi kama mwanamke napenda sana kuitumia kukuteka kiakili na kukuchuna sawa sawa.. anakubali kudanganywa ili ale vyako kiulainiiii.. we unamuona yeye mjinga na yeye anakuona wewe kubwa jinga
 
muangalie huyu mwanamke anavyosimulia."anasema amempata mwanaume anamiliki duka .kumbe sio lake ni mfanyakazi.Huyu mwanaume ana mke amemtamkia huyu binti kwamba hatembea na mke wake sababu alimfumania na house boy wake,sio kweli katumia gia ya uongo ili huyu mwanamke amuonee huruma,huyu demu ameweka imani yake yote kwamba ataolewa na huyu tapeli wa mapenzi.Kwa mimi mwanaume ukinisimulia tu hivi najua ni uongo umetapeliwa.
 
Back
Top Bottom