Kwa nini nchi bado masikini tangu uhuru...

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
1109501

1109503
 

Attachments

  • 1558959513684.png
    1558959513684.png
    56 KB · Views: 38
Kwa sababu toka dunia inaumbwa tupo kwa ajiri ya kushangaa wenzetu wamefanya Nini mpka sahizi bado nashangaa
 
Tupa nje CCM au watawala wenye mawazo ya kujenga Taifa la kiCCM ndani ya Taifa la Tanzania. Kisha tujenge nchi moja na Taifa moja. Tutaendelea kwa kasi ya ajabu.
Kwa sasa CCM kwanza watu wameamua kuua Uchumi ili tu waue upinzani. Tunakosa misaada,mikopo, wawekezaji, kuaminika, umoja,Uhuru,uzalendo wa kweli, mijadala yenye tija,katiba mpya, elimu bora na ubunifu kwa sababu ya woga tu wa Watu kukosa kura na kuamua kukiuka katiba na haki za Binadamu,kuua Demokrasia na utawala bora.
Watu wameamua kwenda tofauti na katiba yetu ili tu wazuie ukuaji wa vyama vya upinzani ,2020 eti 2020 wapate ushindi 95% .
Huo ushindi unasaidia nini kujenga Uchumi na damage kubwa waliyolisababishia taifa letu zaidi ya kufurahiya mipasho ya ushindi wa tsunami. Wananchi wanakua maskini zaidi na wanakosa huduma za afya na elimu duni kisa tunasema hatutaki kushauriwa mana tumeshika madaraka na tunalipwa mishahara minono na uhakika wa kulipwa mishahara mpaka kufa.
 
Kwasababu mtu anawaahidi kabisa kuwa nikipewa madaraka aisee watu watalimia meno, bado mnampa madaraka halafu mkianza kulimia meno mnaanza kushangaa tena na kulalamika
 
Back
Top Bottom