Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
- Thread starter
- #21
.
Naona kama tumetegwa zaidi ya kutaka kujifunza.
Kwa upande wetu sisi watu tutakaojibu kiimani ni kwamba, bikra kwa maana ya hymen haipo kwa viumbe wote wa kike, ipo tu kwa binadamu.
Kazi yake kubwa ni kuonyesha upya wa mke maana netural haikubaliani na mke kuwa na mme zaidi ya mmoja. Na ndio maana hamna sababu yeyote ambayo inamwezesha mme kumwacha mkewe na kumuoa mwingine isipokua tu kwa sababu moja tu, nayo ni uasherati, iileweke sio uzinzi (mat 19:9).
Imekuwa hivi kwa jike la binadamu tu na wala sii kwa majike ya viumbe vingine, maana majike mengine yote yapo katika uumbaji wa Mungu wa asili tofauti na jike la binadamu, yeye ametenganishwa kutoka kwa mwanamume aliye katika uumbaji wa asili wa Mungu.
Tunachoshindwa kujifunza katika netural ni kwamba jike la binadamu ndio pekee lenye maumbile danganyifu. Na ndio pekee linaloweza kuwa lizinzi katika majike ya viumbe vyote. na ni kwa jike tu la binadamu ndio wazuri(warembo), kwani viumbe wengine madume ndio warembo mfano Jogoo, simba, farasi nk.
Nasita kuendelea zaidi ya hapa maana siamini kama huku Jf hawatembelei under 18.
Mke ambae hajapoteza asili yake ameumbiwa dalili ya kumilikiwa kichwani na mme.
Nisimamie hapa kwa kusema kwamba bikra(hymen) ipo kwa mwanamke tu kwa sababu asili inafundisha kwamba mwanamume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.(1corr 11:9)
.
Umesema kazi yake ni kuonyesha upya wa mwanamke na kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili wa mwanaume. Kwa hiyo unasema kuwa Mungu ni mbaguzi na anapenda jinsia moja zaidi ya nyingine? Kwa nini aweke bikra kwa moja kwa kusudi la kuzuia uasherati lakini asiweke kwa hiyo jinsia nyingine? ina maana Mungu hajali kama wanaume wanavunja amri ya 6?