Hili swali limenijia baada kuona thread ya mtu anatafuta mwanamke bikra.
1. Ivi bikra ipo kwa viumbe vyote vya kike au ni specific kwa wanadamu?
2. Je inakazi nyingine yeyote au ni kuonyesha upya wa mwanamke?
3. Kwa nini nature ifanye hivi kwa jinsia moja tu?
4. Je kuna kitu tunashindwa kuona/kujifunza kutoka kwa 'nature'?
P.S: Mie sio mwandishi na sirembi chochote. Naenda straight to the point. Kwa hiyo poleni kwa maswali makali.
Pili, nimetumia neno 'nature' kwa kusudi la ku-capture imani nyingi. I.e: Kwa wale wanaoamini evolution na wale wanaoamini uumbaji.
Tatu, by bikra ninamaanisha hymen, na sio bikra ya kifalsafa (kufanya mapenzi). i.e: inayotumika kwa mwanaume pia.
.
Naona kama tumetegwa zaidi ya kutaka kujifunza.
Kwa upande wetu sisi watu tutakaojibu kiimani ni kwamba, bikra kwa maana ya hymen haipo kwa viumbe wote wa kike, ipo tu kwa binadamu.
Kazi yake kubwa ni kuonyesha upya wa mke maana netural haikubaliani na mke kuwa na mme zaidi ya mmoja. Na ndio maana hamna sababu yeyote ambayo inamwezesha mme kumwacha mkewe na kumuoa mwingine isipokua tu kwa sababu moja tu, nayo ni uasherati, iileweke sio uzinzi (mat 19:9).
Imekuwa hivi kwa jike la binadamu tu na wala sii kwa majike ya viumbe vingine, maana majike mengine yote yapo katika uumbaji wa Mungu wa asili tofauti na jike la binadamu, yeye ametenganishwa kutoka kwa mwanamume aliye katika uumbaji wa asili wa Mungu.
Tunachoshindwa kujifunza katika netural ni kwamba jike la binadamu ndio pekee lenye maumbile danganyifu. Na ndio pekee linaloweza kuwa lizinzi katika majike ya viumbe vyote. na ni kwa jike tu la binadamu ndio wazuri(warembo), kwani viumbe wengine madume ndio warembo mfano Jogoo, simba, farasi nk.
Nasita kuendelea zaidi ya hapa maana siamini kama huku Jf hawatembelei under 18.
Mke ambae hajapoteza asili yake ameumbiwa dalili ya kumilikiwa kichwani na mme.
Nisimamie hapa kwa kusema kwamba bikra(hymen) ipo kwa mwanamke tu kwa sababu asili inafundisha kwamba mwanamume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.(1corr 11:9)
.