"Kwa nini nao wasingekojolea Biblia?: :Mzee wa Upakao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Kwa nini nao wasingekojolea Biblia?: :Mzee wa Upakao

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Oct 20, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mzee waupako Mchungaji Anthony Lusekelo amelalama kuwa udini unaoendelea kushamili umetengenezwa na unatokana na viongozi waliomfuatia Mwalimu Nyerere kupuuza vyanzo vya chuki za kidini tokea mwaka 1985. Akizungumza katika kipindi chake cha Utashinda kinachorushwa na TV ya Channel Ten, Mchungaji Lusekelo amesema "leo hii unamkuta Mwislamu au Mkristo amebeba Quran upande mmoja na Biblia upande mwingine na kukashifu dini ya mwenzake". Amesema ukristo au uislamu utatoweka lakini Tanzania bado itakuwepo. Kwake Tanzania inaweza kuwepo bila uislamu au ukristo.

  Amelaumu sana Serikali na viongozi wake wakuu kwa kukosa fikra na maamuzi ya kukemea chuki zilizoanza kuibuka kwenye udini ikiwemo mihadhara ya dini na Radio zinazorusha matangazo ya kukashifu dini za wengine na viongozi kwa ujumla. Lusekelo amelaani kitendo cha Waislamu wachache kujichukulia sheria mikononi na kuamua kuchoma makanisa kwa kisa cha mtoto kukojolea msaafu. " Sisi wakristo ni waoga na tunaupendo wa Mungu, kama tungejibu na kuanza kuchoma misikiti hali ingekuwaje!?" Alihoji Lusekelo. Mzee wa upako amesema anampongeza sana Kamanda Kova na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambao ni waislamu kwa kauli walizotoa mara baada ya vurugu za uchomaji makanisa zilizoanzia Mbagala. Lusekelo anahoji" kama mtoto amekojolea msaafu, kwa nini asingechukuliwa na kupelekwa kwenye kanisa lake ili mchungaji wake aeleze iwapo kafundishwa afanye hivyo na makanisa badala ya waislamu kuanza kuchoma makanisa yote bila kujali mhusika ni wa dhahebu gani?". Mzee wa upako amesema wakristo watajuaje kama kweli huyo mtoto ni mkristo au hajapandikizwa ili kuleta vurugu? "Kama alikojolea msaafu basi waislamu nao kwa maana ya kulipiza kisasi wangekojolea biblia badala ya kuanza kuchoma makanisa utadhani huyo mtoto katumwa na wakristo afanye hivyo" amesema Mzee wa Upako.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Elimu muhimu sana na wataendelea kuzibua vyoo na baranara waache waandamanee
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  hii maada imekosewa kuwekwa huku. wenzio huku kila kitu twachukulia matani. hatui kukasirika wala sijui nini. hapa ni mpango mpango bora upeleke jukwaa la hoja mchanganyiko. mi nlijua naye kajiunga jf. mia
   
 4. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  we unanini maskini mkubwa kumiliki hichi kinokia unajiona tajirio kumbe fukara 2 unaponda kazi za wa2 kwani mzibua choo anakula nini na wewe unayeishi kihuni unakula nini acha zarau me kama nafanya kazi ya kusafisha barabara ndo nimeona inanifaa kwa wakati huu kabla najipanga **** wewe utabaki kudoea kwa wa2 mwanaume mzima huna haya piga kazi so unadis kazio za watu pumbavu
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Umasikini wa akili ni ugonjwa hatari sana.........
  Labda walivyochoma makanisa wamefaidika nini sasa???
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Labda Moyo umetulizana huko Ukonga, Keko na Segerea...
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  hiyo ni Roho ya Mpinga Kristo, kwa maana ilipata kunenwa na Kristo mwenyewe...
  Lusekelo nadhani hajui mamlaka inayosimika viongozi wote duniani kuwa ni mamlaka ile ile ya Illuminati na ndio hao agenda yao kubwa ni kuona nchi zikiingia kwenye minyukano.
   
 8. S

  Smarty JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  huyu mshirikina lusekelo nae ni wa kumsikiliza kweli??....
   
Loading...