abdulakilltz
New Member
- Mar 10, 2022
- 4
- 6
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za sasa hugubikwa na usaliti kwa pande zote mbili, na hii ni kutokana na maisha tunayoishi kwa sasa ya utandawazi.
Lakini likija suala la usaliti kwa mwanaume linaonekana suala la kawaida ila kwa mwanamke bado inaonekana ni ajabu.
Swali linakuja je? Ni kwa nini Mwanamke akitoka nje ya ndoa na akagundulika na mwezi wake huumia na kushindwa kusamehe na kutosahua kabisa...iko hivi
Utofauti ni kwamba, Mwanamme akitoka nje ya ndoa na akatokea kumpenda yule mchepuko wake kuna %kadhaa yule Mwanamke akawa mke wa pili, ila...
Mwanamke akichepuka na akampenda yule mchepuko wake...kitakachotokea hapo ni vitu vitatu...
Kwanza, Mwanamke anaweza beba ujauzito wa mchepuko wake na ukalelewa na mmewake wa ndoa bila yeye kujua kitu ambacho si sahihi kiafya maana hilo ni bomu ambaro muda wowote litalipuka na kuleta madhara.
Pili, Kunauwezekano wa mchepuko kumshawishi Mwanake akudhuru ili wao wabaki huru
Na tatu kunauwezekano wa Mwanamke kuanzisha vitimbi ili apewe taraka akaolewe na mchepuko wake.
Na ndio maana hakuna ndoa ya Mwanamke mmoja kwa wanaume wawili.