Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

Kwa nini mwanandoa unaficha ficha simu

sikubali kupekuwana na masimu sitaki huu ujinga

Ha ha ha miss chaga wanandoa wengine wanafiki saaana eti wanapendana sana utakuta wanavaliana had pichu,wananyoana mavuuu... eti kwenye simu vinajifanya vina privacy yaaani ni upumbav privacy ya mwili inazidiwa na simu jaman
 
yaan simu hizi unakuta mwanandoa anaficha simu yake kumbe kajaza michepuko tupu, mwisho wa siku ukimwi unamwondoa simu yake inatumiwa na mwingine.
 
Wale wanaoficha simu zao wanajumbe kama hizi ktk simu zao hali familia zao zimepigika "baby asante kwa kumlipia ada mtoto wa Dada angu unajua bila ww sijui ingekuwaje", baby ile Prado sijaipenda shoga zangu wananicheka nifanyie mpango wa brevis(wakati mkewe anaenda kazini kwa baiskel),beby kaka anaumwa matibabu India tunafanyaje sasa, af my luv kina vitenge vimeingia yaan vinanitoa roho kweli (wakati mkewe anavaa kaniki) shame upon you
 
Ha ha ha miss chaga wanandoa wengine wanafiki saaana eti wanapendana sana utakuta wanavaliana had pichu,wananyoana mavuuu... eti kwenye simu vinajifanya vina privacy yaaani ni upumbav privacy ya mwili inazidiwa na simu jaman

wanafiki sana sio kidogo. hasa wanaume. wanafiki sana na ndio waendekeza michepuko na wapeleka ukimwi ndani mwao . mxiiieeew...badilikeni!
 
Wale wanaoficha simu zao wanajumbe kama hizi ktk simu zao hali familia zao zimepigika "baby asante kwa kumlipia ada mtoto wa Dada angu unajua bila ww sijui ingekuwaje", baby ile Prado sijaipenda shoga zangu wananicheka nifanyie mpango wa brevis(wakati mkewe anaenda kazini kwa baiskel),beby kaka anaumwa matibabu India tunafanyaje sasa, af my luv kina vitenge vimeingia yaan vinanitoa roho kweli (wakati mkewe anavaa kaniki) shame upon you

shame sana tu si kidogo. wanaficha meseji na utitiri wa call logs za ma-ex ambao si ajabu wanakumbushiana kwa kificho.
 
Ha ha ha miss chaga wanandoa wengine wanafiki saaana eti wanapendana sana utakuta wanavaliana had pichu,wananyoana mavuuu... eti kwenye simu vinajifanya vina privacy yaaani ni upumbav privacy ya mwili inazidiwa na simu jaman

uhuni tu me ndiyo maana nakuwa na limitation watu hatelewi kumpenda mtu ni kwa kuwa unamfurahia
 
Ha ha ha miss chaga wanandoa wengine wanafiki saaana eti wanapendana sana utakuta wanavaliana had pichu,wananyoana mavuuu... eti kwenye simu vinajifanya vina privacy yaaani ni upumbav privacy ya mwili inazidiwa na simu jaman
Kitu kibaya sana...privacy ipi inazidi kuruhusu kuvuliwa pichu/boxer, kunyolewa zivu?
Mtu anachanua miguu kabisa na kunyolewa kunako lakini ikija swala la simu anakuwa mbogo kuliko kitu chochote...?
...Nasema always, mtu anayekuwa na wasiwasi simu yake ikishikwa, iwe kwa sababu yoyote, basi huyo sio mwaminifu na hafai hata kwa mchuzi....!
 
hafai hafai hafai, ni malaya mkubwa na roho imsute
 
Hahahahaha hapa labda cjui siko serious na nini! Unaona tayari hizo chats umeziita ujunga mtupu basi ujue ni tatizo kufekenyua sm ya mwenzio kwa sababu utakutana na ujinga mtupu utakaoumiza roho yako bure kabisaaaaaaaaaa!

Hauko serious!
ukikuta mkeo kwa bahati mbaya anachati hivi utaona poa! huyo unayechati naye hivi hapiti miezi miwili mle tunda.
 
Kaskazini, mashariki...
Kusini Magharibi...
Vodacom Vodacom
Maisha ni Muruaaaa...

Ama baada ya kiburudisho hicho:
1. Mnachangia ili kupata muafaka wa kujenga ama mnachangia tu kufurahisha genge?
2. Mnachangia kutokana na eksipiriensi zenu ama mnatoa 'free,well informed opinions'?
3. Mnachangia kila mmoja akitoa msimamo wake (stating ur position in the matter) ama mnachangia kwakua mnadhani 'inatakiwa iwe hivyo' hata kama haiko hivyo kwako binafsi ktk maisha uliyonayo?

Nitarudi, ngoja nikagonge gahawa kibarazani kwa mzee abduli kwanza
 
Uaminifu katika mahusiano huimarishwa na uwazi.

Kama simu inafichwa fichwa, uwazi uko wapi hapo? Haupo!

Na kwa nini ifichwe fichwe? Ina nini ndani yake?

Mkuu mm ni MHANGA wa hii!Wife wangu anapiga kila jina la msichana niliye save kwenye simu yangu!

Sometimes nafikiria kuweka password sababu ya kulinda heshima yangu!Kuna siku kampigia hadi supervisor wangu kaanza kuuliza "who is this "?

Siyo wote wanaoficha simu ni watu wabaya!!
 
jamani huo uaminifu na ujasiri wa kufukunyua simu ya wife unaupata wapi? tusidanganyane eti kwa kuwa anakuvulia chupi na moyo pia akufunulie.
Pengine ni muaminifu kweli inatokea jamaa huko limekosea namba limetuma sms ya mahaba jinsi jana lilivyopewa kisamvu cha kopo inakuwaje nawe unakurupuka padogo hapo? kila mtu abaki na simu yake wengi hatuna TBS katika hilo.
 
ndio atakuelezea sasa mpaka uelewe. acha visingizio.
 
Mkuu mm ni MHANGA wa hii!Wife wangu anapiga kila jina la msichana niliye save kwenye simu yangu!

Sometimes nafikiria kuweka password sababu ya kulinda heshima yangu!Kuna siku kampigia hadi supervisor wangu kaanza kuuliza "who is this "?

Siyo wote wanaoficha simu ni watu wabaya!!

ukiona hivyo ujue ashakuhisi kitu au ushawahi kumsaliti hivyo hakuamini tena
 
No!Sijawahi kumsaliti toka nimuoe!Ila hata akimjua X wangu wa zamaniiii ambaye nilikuwa nae kabla hata yy simjui inakuwa issue kubwa home!

Wasichana wana mambo sana kwa kweli ehehehehe!
 
mi huwa naficha kutokana na manufacture's instruction.
 
Guys, lets be open minded a bit

Marriage isn't the only thing that makes life colourful!

At times you may need to share light moments with human beings around you, your spouce may or may not be just a part of it.

Sasa kama anakaba as if life revolves around marriage only kwanini simu isifichwe bearing in mind kwamba ugomvi wa kimapenzi mtu awezavunjwa meno?

If you happen to quiz everything owing to your limited scope of understanding life, you are bound to create and make big deals where there are none. Therefore, if I care enough bout me & you I will keep a safe distance between you and my phone!

Hence proved why 'phones should stay away from your probing nose and problematic self'!
 
ilibidi ubaki single wewe sijui ni +me au +ke. You sound so selfish. Sijawahi kuona mtu mwenye upendo kwa mwenza anamuita ana probing nose. Unaona anakuwa probing kweli mkishare simu?

Actually wewe ndie unaeonekana problematic hapa na mawazo yako hayo. Kuna mtu atakuwa ameshashika usukani wa moyo wako na humo ndani uliko umebaki kuishi kwa mazoea na kuonekana tu ila roho na mawazo yako viko huko unakokufahamu na Mungu wako akusaidia na kama ni pepo likutoke au shetani akuachie.

kila kitu unammanulia "manu" ila simu unaficha uvunguni kama kitu gani. una uozo tu unaoendelea. au unafurahia ugomvi kila siku anune ili wewe upate mwanya mzuuuri wa kuwa left alone and do your shit.
 
Kitu kibaya sana...privacy ipi inazidi kuruhusu kuvuliwa pichu/boxer, kunyolewa zivu?
Mtu anachanua miguu kabisa na kunyolewa kunako lakini ikija swala la simu anakuwa mbogo kuliko kitu chochote...?
...Nasema always, mtu anayekuwa na wasiwasi simu yake ikishikwa, iwe kwa sababu yoyote, basi huyo sio mwaminifu na hafai hata kwa mchuzi....!
correct sir
 
Back
Top Bottom