masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,384
- 19,308
Haha, acha uongo mkuu, sema tu mbona unamwita masai dada ndo muhsika ama😉
hahahaha ila nisaidie kumuuliza mtoa mada hivi AKILIVYODU IKATOKA DAMU KABISA???
Last edited by a moderator:
Haha, acha uongo mkuu, sema tu mbona unamwita masai dada ndo muhsika ama😉
dawa ya limao we mwagiza maji kidogo,,,litatoka vumbi hapo hakuna mfanoa,,,,nilishawahi test kwa kitoto fulani hapa mujin kilitaka kunipeleka chaka
unajuaje hii imepakwa limao lakini??
unanusa au unaenda na microscope?
huku wengine wakikosea kuingiza tunduni, kule wengine wanajua imepakwa limao na ndimu!!
Next time uende na bamia upike na wali kabisa... lol
hahahaa mi limao sieki
KAMA KUNA TUNZO LABLA
AU UKUTANE NA MTU ANAKWAMBIA natafuta mke bikra alafu ushaingia mzima mzima
ila hiyo bikira mkidoo inatoa damu kweli
siweki natania niweke bikira kwani napata tunzo
Teh! Teh!Tehe!.DUH si anaingiaga chumvini .abebe na mlenda wa karanga
hahahaha ila nisaidie kumuuliza mtoa mada hivi AKILIVYODU IKATOKA DAMU KABISA???
hahahahahah aiseee
hunipendi
kumbe wanaekaga na mimi nitaweka
unanikumbusha washkaji zangu wawili, kila mtu anadai amemtoa bikra mtoto wa geti wakati huo na mie nlimkuta bikra!!! ilibidi ninyamaze tu kwenye hayo mabishano.... say no to remons
Mmmmhh
Kuna mtu kaandika.... ata sio mimi!!!