Kwa nini mtudanganye kwa kuweka limao?

Kwa nini mtudanganye kwa kuweka limao?

Status
Not open for further replies.
Hivi wakina Dada kwanini mna Tabia mbaya sana mkiulizwa mnasema ni Mabikra ila mnapaka Malimao kwenye sehemu za Siri si mseme tu ukweli kwanini mfanye hivi.

Pole brother kwa yaliyokupata...
Najua mpaka sasa mdomo na me yako vina uchachu uchachu wa limao...
Pamoja na hilo HYMENORRHAPHY/HYMENOPLASTY ni ghali sana so hawana uwezo huo bora wakimbilie tiba mbadala na rahisi kufanyika.....nyie msi mnataka kiti "sealed" bana
 
Hivi wakina Dada kwanini mna Tabia mbaya sana mkiulizwa mnasema ni Mabikra ila mnapaka Malimao kwenye sehemu za Siri si mseme tu ukweli kwanini mfanye hivi.

Bora hii et bro
Upasuaji wa kurudisha bikra (hymen)
 
Attachments

  • hymenoplasty.jpg
    hymenoplasty.jpg
    12.8 KB · Views: 1,748
!
!
Ukijua katia limao, usihangaike sana. Tafuta blueband paka kichwani ya kutosha. Limao halifui dafu kwa blue band.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom