Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?


Kwa maelezo yako yanadhihirisha kuwa Wewe mwenyewe ni mbaguzi
 

Acha ujinga mkuu. Sasa ahudhurie kila msiba hata usiomuhusu? Ninavofahamu mimi watu huhudhuria misiba ya Famila, Marafiki, Majirani. sio kila mtu
 
Kuna andiko moja linasema waacheni wafu wakazike wafu wenzao huwa lina maana gani vile?

binafsi hata mimi ni mzito sana kwenda kwenye misiba ingawa naumia kusikia mtu amekufa.
We ukifa
Utajizika??
Mimi huwa siendi ila naona sio jambo zuri. Ukifa nawewe utazikwa na wengine
 
Mtamteka, hahah, atazikwa na wana Simba, hana presha.
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake

Unataka kila msiba aonekane! Na kama haumhusu ajipeleke tu!!
 
Noted
 
Ni mbinafsi sana
 
Uzwazwa huo wapi nmeongelea kuhudhuria msiba wa mengi? Ama misiba kwa ujumla?
Unataka Mo akienda misibani akualike ? ebu acha utoto unajua mpaka sasa amezika wangapi au amehudhuria misiba mingapi? acha kushangaa vitu vya kawaida , hakuna ulazima Mo kuwepo ata asipokuwepo DON Mengi atazikwa tu, hivyo sio habari
 
Hii Post yako mkuu ni GOAT(Greatest of All Time) Big Up. Natamani wengi wangekuelewa na kutake action!
 
Umewahi kumuona mm2 au shivacom au yule mmiliki wa Sayona.. Au
Zakaria Sukari je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…